Taliban yaahidi kuruhusu wageni na raia kuondoka Afghanistan

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,367
2,000
Kwa mujibu wa Taarifa ya pamoja ya Mataifa mbalimbali ikiwemo Marekani, Taliban imehakikisha itaruhusu Raia ambao ni wageni na Waafghani wenye ruhusa kuondoka salama Nchini Afghanistan

Vilevile taarifa hiyo ambayo inajumuisha Nchi za Australia, Japan, Ufaransa na Uhispania imesema Mataifa hayo yataendelea kutoa vibali vya kusafiri kwa Raia wa Afghanistan

======

The Taliban will allow all foreign nationals and Afghan citizens with travel authorisation from another country to leave Afghanistan, according to a joint statement issued by Britain, the United States and other countries.

"We have received assurances from the Taliban that all foreign nationals and any Afghan citizen with travel authorization from our countries will be allowed to proceed in a safe and orderly manner to points of departure and travel outside the country," they said in the statement.

The statement said the countries, which also included Australia, Japan, France, Spain and many others, would continue to issue travel documents to designated Afghans.

Source: Reuters
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom