Taliban na Afghanistan: Nini hatima yake machoni mwa kiitwacho Jumuiya ya Kimataifa

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Talibani Na Afghanistan.

Nini Hatima yake Machoni mwa Kiitwacho Jamii ya Kimataifa (Nchi za Magharibi na Marekani)?

Afghanistan Yenye Majimbo 34, Wilaya 421, Watu Milion 38.

Je, Katika Hii Mikono ya Mapinduzi ya Taliban dhidi ya Rais Ashraf Ghani?

Nini itakuwa Hatima ya Afghanistan Kimataifa?

Je, Watabadili Mwelekeo Taliban?

Je, Siasa za Dunia hasa Mataifa ya Kiislam Zitafuata Mkondo gani?

Na Nini Hatima ya Siasa hizi Duniani zitashika Mwelekeo Gani?


Karibuni wadau
 
Back
Top Bottom