Taliban kujadiliwa na UN ili kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
The Taliban wants its envoy to address the annual United Nations General Assembly’s high-level meeting of world leaders this week, a UN spokesman said on Tuesday, raising the question of who should represent Afghanistan in the intergovernmental organisation.

The Taliban, which captured power on August 15 following weeks of a military blitz, is challenging the credentials of the country’s former UN ambassador, Ghulam Isaczai, appointed by the previous government. President Ashraf Ghani fled the country last month after the Taliban retook Afghanistan 20 years after it was removed from power in a United States-led military invasion.

The request was sent on Monday via a letter addressed to UN Secretary-General Antonio Guterres, ahead of this week’s UNGA meeting in New York, Stephane Dujarric, a spokesperson for Guterres, said on Tuesday.

Dujarric said his office received a communication from Isaczai on September 15, listing the names of Afghanistan’s delegation for the assembly’s 76th annual session.

Five days later, Guterres received another communication with the letterhead “Islamic Emirate of Afghanistan, Ministry of Foreign Affairs,” signed by “Ameer Khan Muttaqi” as “Minister of Foreign Affairs,” requesting to participate in the UN gathering of world leaders, when Afghanistan is scheduled to give a speech on September 27.

Muttaqi said in the letter that former Afghan President Ghani had been “ousted” and that countries across the world “no longer recognise him as president”. Therefore, Isaczai no longer represents Afghanistan, Muttaqi added in the letter.

Source: Taliban asks to address UNGA after Afghanistan takeover

---
Suala Rais kuhutubia au kutohutubia baraza la usalama la Umoja wa Mataifa haina maana yoyote kwenye jinsi dunia inavyoridhika au kutoridhika na Demokrasia na Utawala wa Sheria kwenye nchi husika.

Ila ni ukweli pia imempa credits nyingi Rais wetu kuamua kwenda kuwa angalau Taifa limeungana na Dunia kwenye masuala nyeti kama mazingira na Vita za ugaidi.

Kwanza niwanange zaidi wapinzani vyovyote na yoyote wanayopitia kwenye siasa kandamizi tunatakiwa kuzidisha Diplomasia na sio harakati zenye chembe za chuki au visasi. Na kulikuwa hakuna haja ya kupinga wala kuchochea kutosikilizwa kwa mama na Jumuia ya kimataifa.

Pili CCM wasiudanganye umma kuwa mama yetu mpendwa kuhutubia Baraza hilo ni ishara ya dunia kukubaliana na kufurahishwa na Sera na aina ya utawala wake. Kwani hata Serikali kaidi na za kidikteta zinahudhulia na kuhutubia baraza Hilo. Mfano Sasa ni hatua ya Utawala wa Afghanistan yani kundi kubwa la kigaidi la Talban kuomba kuhutubia Baraza hilo kwa kigezo cha wao ndio viongozi wa sasa wa Afghanistan na sio kwa kuwa na Demokrasia au utawala Bora.

Tuendelee kupigania Katiba na Utawala wa Sheria kwa hoja na diplomasia. Wapinzani kuweni wanadiplomasia zaidi nje na sio wanaharakati ili angalau muaminike. Na mseme mnaongelea nje kwasababu hakuna mlango wa kuingilia kuongea na Viongozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom