Taliban hivi sasa wanaushambulia Mji Mkuu Kabul toka pande zote

Nafikiri Trump ndio alioanza na sera ya kuwaondoa wanajeshi, hao kina Kibadeni wanaendeleza tu.

Mimi nimeshangazwa na hio rapid advancement yao hawa Taliban. Sio bure kabisa, yaani siku chache nchi nzima wameiteka? Kuna raia waliowengi na hata majeshi ya serikali itakuwa yapo pamoja nao. Nakuta wa afghan wakijisifu na kuiita nchi yao GRAVE OF EMPIRES! Yaani kila anekwenda anashindwa

Screenshot_20210816-140654.png


Screenshot_20210816-140807.png


IMG_20210816_141504_748.jpg


IMG_20210816_141133_942.jpg
 

Attachments

  • VID-20210816-WA0059.mp4
    2.6 MB
Marekani ile mitambo yake aliyowaachia jeshi la Afghanistan inaingia kwa hawa wahuni.

Hivi Marekani kwa miaka 20 alishindwa kuwajengea uwezo wanajeshi wa Afghanistan?

Kwa hili us ameshindwa pabaya sana.
Miaka 20 unajengewa uwezo umekuwa zezeta au taahira. Hawa waliberali wa Afghanstan ni wajinga sana wamekalisha matumbo yao kula tu hela za USA
 
Ni suala la muda tu, Kabul itakuwa chini ya udhibiti wa Taliban. Kinachoendelea ni mashambulizi makali kutoka kila upande wa mji. Kiongozi wa Taliban anasisitiza kuwa hataki umwagaji wa damu na anawaomba askari wajisalimishe. Majeshi ya Serikali kibao yanasalimu amri. Rais Ghan kabaki kutoa matamko ya kishujaa yasiyo na tija, kifupi anachezea kichapo!

Anga la mji limetapakaa helikopta za USA katikati ya moshi wa mizinga zikiwawahisha watu wake Uwanja wa ndege wa Kabul ambapo wanapakiwa kwa ndege then wanahama nchi.

NB: America Hana perment friend wala permanent enemy, akishachukua anachokitafuta anakuacha ujifie katikati ya maharamia!!!

View attachment 1892975

Update: Serikali imesema wananchi wawe na Amani, mazungumzo yapo pazuri... Taliban wapo getini, wameambiwa wasishambulie bila ulazima

Update: Taliban wameukamata Uwanja mkubwa wa Ndege wa Bagram na gereza lenye wafungwa 5000

Taliban wameahidi kuwasamehe viongozi wote wa Serikali.

Bado askari wa Taliban wameamriwa kukaa getini mwa mji, wasiingie mjini mpk waambie.

Wanawake wameombwa na Taliban kwenda kujificha mahali salama.

Wanaotaka kuondoka Kabul wameruhusiwa kuondoka anytime bila bugudha.
Hakuna mashambulizi upande wowote huko Kabul wanajeshi wa serikali wanavua gwanda na kukimbilia uraiani. Watalibani wanaingia bila upinzani wowote
 
H
Fikra zangu zinanilazimisha niamini kinachofata ni Marekani kuwatumia Taliban kupambana na Iran.
Kuna vita au mapigano yanayokuja kati ya Afghanistan na Iran.
Kipindi hiki Muiran anatakiwa awe makini sana kuliko kipindi chochote.
Hakuna kitu Kama hicho.
Watalabani hawako tayari kutumika na Marekani
 
Taliban wana chopa mbili waliziteka jana mchana.

Ndo maana US hawawezi kuanza vita kwani itakuwa balaa kubwa.

Kazi iliyopo ni kuokoa raia wao wote.
Nimecheka sana niliposoma hii komenti...
Mkuu popote uliponashukuru kunitengenezea siku...
 
Hao waliozunguka ndege Ni wamarekani wamepandikizwa Tu kuishangilia Ndege....Waafghanistan wa ukweli WaPo nyumbani wanashangilia kutawaliwa Na Dola ya haki ya kiislam(Dini ya Amani)
 
Hakuna mbinu yoyote hapo wamesha feli vibaya sn na ni Aibu kwa America yote walicho bakia nacho kwa sasa ni maneno maneno.

Hasara waliyoipta kwa Afghanistan war halipiki tena kilicho baki ni kunegotiate na TALIBAN tu hakuna namna maana hakuna mafuta wala Gas wanayo chukua wala BASE hawajapata.
Nakubaliana na wewe asilumia 500/500 watu wanajaribu kujifariji tu.
Marekani kachemsha Tena.
Hiyo sijui kuwasidia watalabani au kumleta mkuu wa watalabani no kujikosha tu,ili angalau wawe wanapata hata an mda was kwenda kutembelea ikulu ya kabul.
USA kachemka bana.
 
Kuna mzung nilifanya nae Kaz ap kaniambia afghan Ni Kama mji wa mbeya kwa Kila kitu kazoro ugreen tu ila muonekano Ni vile vile cku. Nafika nae Mara ya kwanz pale alishangaaa Sana kuona mji ule ukifanana na mji wa kabul
 
Nakubaliana na wewe asilumia 500/500 watu wanajaribu kujifariji tu.
Marekani kachemsha Tena.
Hiyo sijui kuwasidia watalabani au kumleta mkuu wa watalabani no kujikosha tu,ili angalau wawe wanapata hata an mda was kwenda kutembelea ikulu ya kabul.
USA kachemka bana.
USA kachemka si kitoto...
habari za anajua alichokifanya hazipo...
Watu wanaona USA kama mungu kwamba haishindwi...
 
Back
Top Bottom