Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Dear siwezi kukugandisha...mwenzako si Jana nikaropoka nikaquote comment yake kwamba yy ni mange! Acha nipewe makavuuu! hadi pozi likaniishia...ntakupm very soon tusaidiane huu uchunguzi...si kwa kichambo nilichopewa Jana!!
Unachelewa ujue?NiPM fasta mie mpelelezi wa kujitegemea.
Huwa sishindwi na sijawahi kushindwa .
Karibu mama.
 
mtu yoyote anayechambana na mange kwa id fake namwona **** tu, huyo kichwa panzi wenu mtamsifu sana ila ntampa sifa akichambana na mange kwa jina lake halisi ,hapo ndo itakuwa fair game , huwezi mtukana mtu usiyemfahamu.

Bado mange anashikilia kombe , atleat lemutuz anafuatia nafasi ya pili lakini huyo kichwa panzi wenu hamna kitu ni mwoga na hajiamini
umuone kyuma au mboo wala haisadii,ukweli ni kwamba na yy kapatikana alizidi kujiona yeye ni untouchable, Kp kamuumiza vya kutosha ndio maana anamtafuta usiku na mchana...tumejua mambo yake mengi kupitia kp. alikuwa anahangaika kuonyesha her perfect life kumbe naye
anamapungufu tu kama wengine. kichambo ni kichambo tu haijalishi unachambwa na id fake au la! maumivu yako pale pale.
 
Umenena DEMBA mtu kichambo kichambo tu mama
 
umuone kyuma au mboo wala haisadii,ukweli ni kwamba na yy kapatikana alizidi kujiona yeye ni untouchable, Kp kamuumiza vya kutosha ndio maana anamtafuta usiku na mchana...tumejua mambo yake mengi kupitia kp. alikuwa anahangaika kuonyesha her perfect life kumbe naye
anamapungufu tu kama wengine. kichambo ni kichambo tu haijalishi unachambwa na id fake au la! maumivu yako pale pale.

mkuu Nakubaliana na wewe kabisaaa, ila nilichokuwa nasema KP anamengi ya kumchana Mange maana anamfahamu lakini Mange hana mengi ya kumchana maana hamfahamu yeye wala ndugu zake.....hicho ndo nilichomaanisha...let's enjoy ze mtanange
 
1473796607419.png
1473796607419.png
 
Kweli kichwa panzi kiboko ya mange, mange kavurugwa kabaki kucheza inde ya Dully, eti mapre haachwi?! Kaachwa na ushahidi juu talaka mahakamani kama kweli mange mbabe si ungemalizana na baba watoto hapo nyumbani uchuke karatasi zako usepe?!
 
Back
Top Bottom