great kali
Member
- Mar 11, 2018
- 54
- 34
Habari, Inasikitisha kuona kampuni kubwa zinazojishughulisha na miamala ya kifedha zikiwa na system poor kiasi na rahisi kuibika ok by the way niachane na hilo.....
Nilikuwa na jaribio langu la ki teknolojia kwa hawa Tala na Branch lengo likiwa ni kubypass madeni yangu niliyokuwa nayo katika app hizi mbili yakiwa na jumla ya thamani ya tsh 400,000..,
Nashukuru mungu nilifanikisha kubypass madeni hayo na kuonekana yamelipwa kabisa wakati sijalipa hata shilingi mia na kuniongezea kiwango cha kukopa zaidi.
madhumuni ya kuweka uzi huu hapa sio kutaka watu niwafundishe kuiba hapana bali ni kuwataarifu kampuni husika kabla hazijapata hasara kubwa na hivyo basi sitathubutu kuwaonyesha mwanya wao upo wapi watafute wana it watafute mianya yao na waizibe.