Takwimu za watalii wanaokuja kwenye nchi za Afrika Tanzania yagaragazwa

Na Tanzania tunataka watalii wenye hela zao sio hao malofa unaowatetea ambao ulimwambia visa dolar analilia kama chadema or too high wakati were kuingia nchi zao waweza chajiwa hata dollar Mia mbili na hutakiwi upige yowe.Kuweni wazalendo kwao wanaenda wenye hela zao na kwetu waje wenye hela zao.Mtu analalamika Kodi kubwa analalamika nini? Kyle kwao were mtoto wako ukienda kusoma mtoto wa Bilionea Billy gate ada yake ndogo mno were Toka nchi maskini Italia ada mara kumi ya ada ya mtoto wa Billy gate shule au chuo hicho hicho darasa hilo hilo na huoni chama kule kikisimama kutetea Kuwa wanafunzi wa nchi maskini walipe ada ndogo kuliko watoto wa mabilionea! Chadema bullshit hamna uzalendo mnatetea wazungu maskini kule kwao hakuna viti kama hicho hata kwa ratio zenu wajerumani wa Chama cha CDU.Chadema you are puppets
I've realized we jamaa ni zero brain, the only problem is husimamii hoja bali unashutumu mahala ambapo hamna palipoingizwa siasa. Kuna mahala mleta mada kaweka chama cha siasa?
Hoja yako ingekua nzuri saaaaaana kama usingehusisha uchama, rudi kasome upya na ujue namna ya kusimamia hoja
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Vivutio vyetu Ni high class huwezi compare na hizo nchi ulizotaja ndio maana tuligoma visa ya pamoja ya dollar 35 tunakomaa na dola Mia kwenda mbele
sasa wewe nikichekeso unaona hapo ni nani amefaidika? wacha uwendawazimu
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
I've realized we jamaa ni zero brain, the only problem is husimamii hoja bali unashutumu mahala ambapo hamna palipoingizwa siasa. Kuna mahala mleta mada kaweka chama cha siasa?
Hoja yako ingekua nzuri saaaaaana kama usingehusisha uchama, rudi kasome upya na ujue namna ya kusimamia hoja
Chadema huyo
 
I've realized we jamaa ni zero brain, the only problem is husimamii hoja bali unashutumu mahala ambapo hamna palipoingizwa siasa. Kuna mahala mleta mada kaweka chama cha siasa?
Hoja yako ingekua nzuri saaaaaana kama usingehusisha uchama, rudi kasome upya na ujue namna ya kusimamia hoja
mkuu usibishane na huyo maana ameamishia akili zake tumboni kichwa kinabeba menu tu hapo
 
Chadema huyo
Itakua hujawahi kuhidhuria debates, ndugu katika hoja inabidi uipangue au uikubali kwa hoja. Na hapo ndio tunaposema fulani kakwiva, ukiona mtu anahama hoja na kuishia kwenye personal attacks basi huyo bado ni immature kiakili.
Whether awe chadema au chama chochote that's non of your business, the issue is hoja kaiweka mezani bila kuhusisha chama cha siasa so unapaswa ujibu hoja kama professional

Learn to read first before commenting on anything, ujinga wa mtu umo katika kuongea au kuandika kwake
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Nilishawahi sema kuwa chanzo cha haya yote ni sisi wenyewe, hakuna wa kumlaumu, ni sisi wenyewe watanzania ndio tuliochagua kupitia haya yote.Tusimlaumu magu, ccm wala serikali tena chadema/ukawa ndo tusiwaguse kabisa...hao hata kama walitupigania kwa maslai yao hatukuwapa support hata kidogo..acha yatokee kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake...nothing ukifa maskini ni wewe ukifa tariji ni wewe na jitihada zako za kupigania maisha. Hakuna jirani wala mtu atakaye kusaidia kupigania maisha yako yawe bora...hakuna.....
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Tanzania - 1.327 Million

million Kenya - 1.474 Million

million Zimbabwe - 2.1 Million

million Algeria - 2.4 Million

million Tunisia - 7 Million

million South Africa - 10.29 million

Morocco - 11.35 million

Chazo chaeleza kuwa Ugali wa watali kuja tanzania kwenye ndege Mahoteli na mbuga za wanyama zachangia ikiwa pamoja na kodi kubwa
Tuko kwenye raiti trakk
 
Kwenye Park fees unamwongezea % 18 huyo mzungu atakuja kweli .wazungu wakisikia Kodi % 18 hutamwona kabisa .Hata kama anakuja kuekeza haji ,wanaangalia Kwanza Kodi imekaaja ,.Ndio maana wazungu wengi matajiri hawapendi kuweka hela Nchi ambayo wanatoza Kodi kubwa wanapeleka kwenye vile visiwa ambayo hawana Kodi kabisa.
 
Ukienda ulaya au marekani watakuuliza una shilingi ngapi wajue utawaingizia shilingi ngapi kwenye uchumi wao Tanzania bei zetu zinachuja mtalii maskini na Tajiri na maskini.Mtalii maskini hapewi nafasi kama ambavyo mtu maskini huwezi ruhusiwa kwenda kitalii ulaya.Marekani na Ulaya Wanataka watalii lakini sio malofa wa Chadema.Kama mnabisha chadema kaombeni visa ya kwenda kitalii marekani au Ulaya kama hawatawakimbiza na nondo ubalozini.Chadema mitetezi ya wazungu hata aibu kidogo hamna
Kweli kabisa Wema Sepetu kada nae kanyimwa visa sijui ccm wote matajiri?
 
Zanzibar kisiwa cha utalii, lakini mwezi wa Ramadhan hawataki kuuza chakula mchana.

Kwa nini utalii usishuke?
 
Sana tu mkuu. Tumejitoa akili kuukumbatia umasikini na ujinga,halafu tunauliza kwa nini wenzetu wanaendelea sisi hatuendelei?
Kuna visiwa vidogo kama ,Madagascar, Comoros, mauritania ,Wana wageni wa kufa mtu .Hata kama ni mwezi mtukufu wao wanapiga kazi tuu .BORA IMANI YAKO NDIO KITU CHA MSINGI CHA KUFUATA .MBONA KUNA WATU WENYE HIYO DINI NA WANAUZA AU KUPIKA HIYO KITU ? UKIPATA AJIRA SERENA HOTELS UTASEMA HUWEZI KUFANYA KAZI KWA SABABU WANAWAPIKIA WAGENI BACON ZA KITI MOTO?
 
Tanzania - 1.327 Million

million Kenya - 1.474 Million

million Zimbabwe - 2.1 Million

million Algeria - 2.4 Million

million Tunisia - 7 Million

million South Africa - 10.29 million

Morocco - 11.35 million

Chazo chaeleza kuwa Ugali wa watali kuja tanzania kwenye ndege Mahoteli na mbuga za wanyama zachangia ikiwa pamoja na kodi kubwa
Kwa hiyo chakula wanachopewa ni ugali tu huko kwenye ndege, hotelini na mbugani? Kiswahili kazi!
 
nafikiri unatambua mimi ni mwanahabari tena zauchunguzi siwezi kupa chanzo maana ndio kinanipatia taarifa kwa sasa
Mwanahabari jifunze lugha sahihi ya kutoa taarifa, ugali ni aina ya chakula, unachoongelea wewe ni ughali wa gharama kwenye hiyo sekta.
 
Back
Top Bottom