Elections 2010 Takwimu za waliopiga kura 2010 - Angalia, Fikiria, Amua

Mimi sio Rais wangu kwa maana tangu anaingia madarakani sijawahi kumpigia kura.

Sasa kama hukwenda kupiga kura kwa hiari yako mwenyewe tena unamlaumu nani?

Ndiyo yalee aliyokuwa anazungumza 'mjomba' kwenye lile tangazo - watu hamwendi kupiga kura halafu munalalamika.
 
NEC wana figure tofauti tofauti kama tatu za wapiga kura wa 2010 ie 19mill na zile za 20mil ziko mbili tofauti
 
ipo siku Mungu aliye hai atayafuta machozi yetu watz.real inauma sana.jamani tuwe makini ktk kila jambo tunalolifanya.naamini kila mtu akisimama ktk nafasi yake vizuri bila uzembe taifa litanyanyuka.tutiane moyo sisi kwa sisi tutaweza
Utabaki kumngojea mungu aliye hai aje apige kura ya no kwa ccm...? hata uyo mungu aliye hai anatuambia tujisaidie ndo atusaidie sasa kama mpaka leo kuna watu wanajua nyerere yuko madarakani huoni kunahitajika nguvu za ziada badala ya kumngojea mungu aliye hai ashuke aje apige kura...? kama kweli unauchungu na nchii yako waloge Kikwete, makamba, kingunge na mafisadi wafe gafla ndo haki itatendeka au watz watakosa wakumchagua ccm na hapo ndo labda watz wataelewa na mabadiliko ya kweli yatapatikana otherwise ni katiba ibadilishe fasta na tume pamoja na vyombo vya dola viwe huru labda ndo ita sounds..
 
Ilikuwa ni kwa sababu ya Kucheza mchaka mchaka ndiyo maana namba zikawaharibikia.
 
Kumbe Slaa hajamfikia Mrema 1995.

Statistically Slaa amempita Lyatonga sana kwa sababu ukiangalia popular votes Slaa amepata nyingi zaidi ya zile za Lyatonga, only kilichopunguza asilimia ya Dr Slaa ni idadi ndogo ya waliopiga kura vs waliojiandikisha
 
Jamani mbona sababu ziko nyingi tu.

Kuna sababu nyingi lakini pengine zilizokubwa kabisa ni:
  1. Hizo figures za 20m+ zilikuwa ni cooked data za NEC kwa ajili ya uchakachuaji kuisaidia CCM.
  2. Wapiga kura wengi walikuwa wameshatishwa na Kamanda Shimbo kuwa lazima wakubali matokeo whether they like it or not.
  3. Wapiga kura wengi hasa kwenye maeneo yenye upinzani mkali hawakupata muda wa kuyahakiki cause of short notice-4days.
  4. Watu wengine walijiandikisha si kupiga kura baali wapate kile kitambulisho cha mpiga kura kwa ajili ya mambo yao mengine kama kuombea mikopo na vibali mbalimbali k.m.kupata passport,leseni za biashara n.k.
 
Hongera dr. Jk kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania. Tunakuhitaji, tunakuamini na ndio maana tukakuchagua. Wanaobeza ushindi wako wanajua fika kuwa wasingeshinda hata kwa namna gani. Mbona hawazungumzii dr. Wao makini kuweka mgombea mwenza mbumbumbu ikiwa wao ni wasomi kweli. Haya darasa la saba atawakilisha vikao gani ? Ataongoza vipi nchi ikiwa raisi hayupo au kafa?. Credential za hao wanaomtetea slaa nazitilia shaka kweli. Kiukweli hakushinda na hawezi kupewa nchi muhuni! Tuwe wakweli na tusimame kwenye ukweli. Ebo? Eti phd ? Phd ya kutembea na wake za watu?????????. Besides is his phd related to any field of management , engineering, politics ,international relation or is religious biased???.
This phd failed to work in the church, how can it work right out of it??. Is it all we need to lead the nation?
Absolutely not!!!!
 
DO NOT THINK TANZANIANS HAVE NO CORRECT VISION AND CANNOT FORESEE THEIR FUTURE! YOU WILL BE WRONG! ALSO ACCEPT TO BE CRITICIZED AND HAVE RESPECT TO OTHERS WAY OF THINKING. YOU WILL HAVE WISDON. THINK POSITIVELY AND SEE THINGS IN RIGHT DIRECTION. DO NOT GET BIASED, PEOPLE WILL LAUGH AT YOU.
 
Labda mwaka huu percentage ya wapiga kura imeonyeshwa kidogo kutokana na kupunguza kura za ndiyo za dr slaa. Kama dr slaa kuna mahali alipota kura nyingi kuliko kikwete kura zake zipunguzwa ili aonekane kapata kura ndogo kuliko kikwete.
 
1. Hongera dr. Jk kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania. Tunakuhitaji, tunakuamini na ndio maana tukakuchagua. Wanaobeza ushindi wako wanajua fika kuwa wasingeshinda hata kwa namna gani. Mbona hawazungumzii dr. Wao makini kuweka mgombea mwenza mbumbumbu ikiwa wao ni wasomi kweli. Haya darasa la saba atawakilisha vikao gani ? Ataongoza vipi nchi ikiwa raisi hayupo au kafa?. Credential za hao wanaomtetea slaa nazitilia shaka kweli. Kiukweli hakushinda na hawezi kupewa nchi muhuni! Tuwe wakweli na tusimame kwenye ukweli. Ebo? Eti phd ? Phd ya kutembea na wake za watu?????????. Besides is his phd related to any field of management , engineering, politics ,international relation or is religious biased???.
This phd failed to work in the church, how can it work right out of it??. Is it all we need to lead the nation?
Absolutely not!!!!

DO NOT THINK TANZANIANS HAVE NO CORRECT VISION AND CANNOT FORESEE THEIR FUTURE! YOU WILL BE WRONG! ALSO ACCEPT TO BE CRITICIZED AND HAVE RESPECT TO OTHERS WAY OF THINKING. YOU WILL HAVE WISDON. THINK POSITIVELY AND SEE THINGS IN RIGHT DIRECTION. DO NOT GET BIASED, PEOPLE WILL LAUGH AT YOU.
 
Hongera dr. Jk kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania. Tunakuhitaji, tunakuamini na ndio maana tukakuchagua. Wanaobeza ushindi wako wanajua fika kuwa wasingeshinda hata kwa namna gani. Mbona hawazungumzii dr. Wao makini kuweka mgombea mwenza mbumbumbu ikiwa wao ni wasomi kweli. Haya darasa la saba atawakilisha vikao gani ? Ataongoza vipi nchi ikiwa raisi hayupo au kafa?. Credential za hao wanaomtetea slaa nazitilia shaka kweli. Kiukweli hakushinda na hawezi kupewa nchi muhuni! Tuwe wakweli na tusimame kwenye ukweli. Ebo? Eti phd ? Phd ya kutembea na wake za watu?????????. Besides is his phd related to any field of management , engineering, politics ,international relation or is religious biased???.
This phd failed to work in the church, how can it work right out of it??. Is it all we need to lead the nation?
Absolutely not!!!!

DO NOT THINK TANZANIANS HAVE NO CORRECT VISION AND CANNOT FORESEE THEIR FUTURE! YOU WILL BE WRONG! ALSO ACCEPT TO BE CRITICIZED AND HAVE RESPECT TO OTHERS WAY OF THINKING. YOU WILL HAVE WISDON. THINK POSITIVELY AND SEE THINGS IN RIGHT DIRECTION. DO NOT GET BIASED, PEOPLE WILL LAUGH AT YOU.

pole sana ndugu. Naona ni wale wale waliopufushwa na dhanbi ya rushwa. hamuoni hata uwizi unaotendeka mchana kweupe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom