HatariKua sheikh mmoja nilikua namsikiliza, alitaja hizi hizi takwimu
NAKAZIA, SAHIHI KABISA.Haya mambo bwana, unaweza kuta hata Rais wa nchi ni MCHAWI.
tanga inakuwaje na wachawi wakubwa?
Ipo sijaitaja tuuLindi nakubali,si ndio kule Magufuli alipotokewa na Moshi live bila chenga??
Jamaa wanampiga kobis hadi Rais ambaye ana ulinzi wa mazindiko yote,Lindi khatari sana sheikh
Ila mkuu Iringa pamoja na utajiri wa punje haipo kabisa katika ramani,kweli??
Wee jamaa wewe, dahHizi ni takwimu halisi kutoka kwa wasimamizi wa vilinge Tanzania..hazijatengenezwa kwa madhumuni ya kukarahisha, kufurahisa ama kubeza jamii fulani toka upande fulani wa nchi yetu
Takwimu hizi zimegawanywa katika makundi yafuatayo
A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WAKUBWA...Zingatia neno wakubwa..
B. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WENGI... Zingatia neno wengi..
C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina..! Yaani yenye harakati nyingi za kishirikina(uchawi,ulozi, uganga wa kienyeji, kuwanga, matambiko, makafara nk)
D. Wateja wakubwa wa ushirikina.. Zingatia neno ushirikina
E. Mazindiko ya Tanzania kishirikina...
A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi wakubwa ni
1. Tanga
2. Lindi
3. Dar es salaam
4. Mtwara
5. Ta bora
6. Kigoma
7. Mwanza
B. Mikoa yenye wachawi wengi(sio wakubwa! Wengi)
1. Sumbawanga/Rules
2. Ruvuma
3. Mbeya
4.Singida
C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina
1. Kilimanjaro
2. Morogoro
3. Kagera
4. Pwani
D. Wateja wakubwa wa ushirikina
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Wanasiasa
4. Wamama wa nyumbani
5. Wanafunzi
E. Mazindiko ya Tanzania
1. Zindiko la Lindi (Zindiko kubwa)
2. Zindiko la Bagamoyo (zindiko la kukimbiza moto)
Huu ndio msingi wa takwimu za ushirikina Tanzania.. Zingatia neno Msingi... Kwahiyo kuna vingine havikuwekwa hapa kama michezo hasa kabumbu na kaliba nyingine kama uvuvi, uwindaji nk