Takwimu za ushirikina Tanzania

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
7,881
2,000
Lindi nakubali,si ndio kule Magufuli alipotokewa na Moshi live bila chenga??

Jamaa wanampiga kobis hadi Rais ambaye ana ulinzi wa mazindiko yote,Lindi khatari sana sheikh

Ila mkuu Iringa pamoja na utajiri wa punje haipo kabisa katika ramani,kweli??
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,217
2,000
Lindi nakubali,si ndio kule Magufuli alipotokewa na Moshi live bila chenga??

Jamaa wanampiga kobis hadi Rais ambaye ana ulinzi wa mazindiko yote,Lindi khatari sana sheikh

Ila mkuu Iringa pamoja na utajiri wa punje haipo kabisa katika ramani,kweli??
Ipo sijaitaja tuu
 

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,866
2,000
Hizi ni takwimu halisi kutoka kwa wasimamizi wa vilinge Tanzania..hazijatengenezwa kwa madhumuni ya kukarahisha, kufurahisa ama kubeza jamii fulani toka upande fulani wa nchi yetu

Takwimu hizi zimegawanywa katika makundi yafuatayo
A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WAKUBWA...Zingatia neno wakubwa..
B. Mikoa inayoongoza kwa wachawi WENGI... Zingatia neno wengi..
C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina..! Yaani yenye harakati nyingi za kishirikina(uchawi,ulozi, uganga wa kienyeji, kuwanga, matambiko, makafara nk)
D. Wateja wakubwa wa ushirikina.. Zingatia neno ushirikina
E. Mazindiko ya Tanzania kishirikina...

A. Mikoa inayoongoza kwa wachawi wakubwa ni
1. Tanga
2. Lindi
3. Dar es salaam
4. Mtwara
5. Ta bora
6. Kigoma
7. Mwanza

B. Mikoa yenye wachawi wengi(sio wakubwa! Wengi)
1. Sumbawanga/Rules
2. Ruvuma
3. Mbeya
4.Singida

C. Mikoa inayosifika kwa ushirikina
1. Kilimanjaro
2. Morogoro
3. Kagera
4. Pwani

D. Wateja wakubwa wa ushirikina
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Wanasiasa
4. Wamama wa nyumbani
5. Wanafunzi

E. Mazindiko ya Tanzania
1. Zindiko la Lindi (Zindiko kubwa)
2. Zindiko la Bagamoyo (zindiko la kukimbiza moto)

Huu ndio msingi wa takwimu za ushirikina Tanzania.. Zingatia neno Msingi... Kwahiyo kuna vingine havikuwekwa hapa kama michezo hasa kabumbu na kaliba nyingine kama uvuvi, uwindaji nk
Wee jamaa wewe, dah
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom