Takwimu za UKIMWI Tanzania kwa mwaka 2018

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Ifuatayo ni Namba, Mkoa & Kiwango cha Maambukizi ya VVU.

1. *Njombe* 11.4
2. *Iringa* 11.3
3. *Mbeya* 9.3
4. *Mwanza* 7.2
5. *Kagera* 6.5
------------------------------- Top 5

6. *Shinyanga* 5.9
7. *Katavi* 5.9
8. *Songwe* 5.8
9. *Ruvuma* 5.6
10. *Pwani* 5.5
----------------------------TOP 10

11. *Tabora* 5.1
12. *Geita* 5.0
13. *Dodoma* 5.0
14. *Tanga* 5.0
15. *Dar es salaam* 4.7
16. *Rukwa* 4.4
17. *Morogoro* 4.2
18. *Simiyu* 3.9
19. *Mara* 3.6
20. *Singida* 3.6
-----------------------------TOP 20

21. *Kigoma* 2.9
22. *Kilimanjaro* 2.6
23. *Manyara* 2.3
24. *Mtwara* 2.0
25. *Arusha* 1.9
26. *Kaskazini Unguja* 0.6
27. *Mjini magharibi* 0.6
28. *Kusini Pemba* 0.3
29. *Kaskazini Pemba* 0.0
30. *Kusini unguja* 0.0

TUJIHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA UKIMWI.
Tanzania bila Ukimwi inawezekana.


Source:TACAIDS
*@Takwimu ya Ukimwi Tanzania 2018*
 
Hizi takwimu hazina uhalisia..iweje kaskazin pemba na kusini unguja ikose watu walioambukizwa ukimwi?wanataka wawaaminishe watu hamna ukimwi kumbe upo ili wawamalize kiurahisi..inabidi mjue na sababu za kutengenezwa kwa virusi vya ukimwi.

ova!
 
Dada zangu hapa mtaani wanapata UKIMWI, sababu ya tamaa zao za fedha, kutembea na watu wazima na wanaume za watu.
 
Ifuatayo ni Namba, Mkoa & Kiwango cha Maambukizi ya VVU.

1. *Njombe* 11.4
2. *Iringa* 11.3
3. *Mbeya* 9.3
4. *Mwanza* 7.2
5. *Kagera* 6.5
------------------------------- Top 5

6. *Shinyanga* 5.9
7. *Katavi* 5.9
8. *Songwe* 5.8
9. *Ruvuma* 5.6
10. *Pwani* 5.5
----------------------------TOP 10

11. *Tabora* 5.1
12. *Geita* 5.0
13. *Dodoma* 5.0
14. *Tanga* 5.0
15. *Dar es salaam* 4.7
16. *Rukwa* 4.4
17. *Morogoro* 4.2
18. *Simiyu* 3.9
19. *Mara* 3.6
20. *Singida* 3.6
-----------------------------TOP 20

21. *Kigoma* 2.9
22. *Kilimanjaro* 2.6
23. *Manyara* 2.3
24. *Mtwara* 2.0
25. *Arusha* 1.9
26. *Kaskazini Unguja* 0.6
27. *Mjini magharibi* 0.6
28. *Kusini Pemba* 0.3
29. *Kaskazini Pemba* 0.0
30. *Kusini unguja* 0.0

TUJIHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA UKIMWI.
Tanzania bila Ukimwi inawezekana.


Source:TACAIDS
*@Takwimu ya Ukimwi Tanzania 2018*
Nategemea takwimu zijazo DODOMA itakuwa top 5,Maana huu ujio wa hawa wageni hapa kila wanayemuona barabarani wanataka,kila wanayemuona mtaani wanataka,utadhani walipotoka hakuna wanawake.
 
Ifuatayo ni Namba, Mkoa & Kiwango cha Maambukizi ya VVU.

1. *Njombe* 11.4
2. *Iringa* 11.3
3. *Mbeya* 9.3
4. *Mwanza* 7.2
5. *Kagera* 6.5
------------------------------- Top 5

6. *Shinyanga* 5.9
7. *Katavi* 5.9
8. *Songwe* 5.8
9. *Ruvuma* 5.6
10. *Pwani* 5.5
----------------------------TOP 10

11. *Tabora* 5.1
12. *Geita* 5.0
13. *Dodoma* 5.0
14. *Tanga* 5.0
15. *Dar es salaam* 4.7
16. *Rukwa* 4.4
17. *Morogoro* 4.2
18. *Simiyu* 3.9
19. *Mara* 3.6
20. *Singida* 3.6
-----------------------------TOP 20

21. *Kigoma* 2.9
22. *Kilimanjaro* 2.6
23. *Manyara* 2.3
24. *Mtwara* 2.0
25. *Arusha* 1.9
26. *Kaskazini Unguja* 0.6
27. *Mjini magharibi* 0.6
28. *Kusini Pemba* 0.3
29. *Kaskazini Pemba* 0.0
30. *Kusini unguja* 0.0

TUJIHADHARI DHIDI YA UGONJWA WA UKIMWI.
Tanzania bila Ukimwi inawezekana.


Source:TACAIDS
*@Takwimu ya Ukimwi Tanzania 2018*
Takwimu zilizopita zilionyesha mikoa ya mwisho kuwa Lindi na manyara. Kwa kiwangi cha 0.3%.sijauona hapo mkoa wa lindi>
 
Hizi takwimu hazina uhalisia..iweje kaskazin pemba na kusini unguja ikose watu walioambukizwa ukimwi?wanataka wawaaminishe watu hamna ukimwi kumbe upo ili wawamalize kiurahisi..inabidi mjue na sababu za kutengenezwa kwa virusi vya ukimwi.

ova!
Mkuu hizo namba ni prevalence, yaan unachukua idadi ya watu waliougua halafu unagawa kwa idadi ya watu wote hakika eneo hilo,mfano 5÷100000= 0.0005 halafu wanazidisha na 100 ili wapate asilimia =0.005 %,,ila Sidhani kama hizo takwimu ni vivid kivile kwa sabab watz hatuna utamaduni wa kupima ngoma
 
Hizi takwimu hizi!!!! kimboka iko dar,sewa iko dar, uwanja wa fisi dar, bila kuisahau sinza na viunga vyake harafu tusiwe hata top 10?
 
Mbona sijaona Tangazo la kupima au wanatupima kwa siri, Hongereni sana kusini pemba ntakuja kuwaletea na nyinyi
 
Nahamishia majeshi Kaskazini Pemba na Kusini Unguja maana huku kwingine sio salama.
 
Nahamishia majeshi Kaskazini Pemba na Kusini Unguja maana huku kwingine sio salama.
 
Back
Top Bottom