Takwimu za serikali kwamba imetengeneza nafasi za ajira millioni moja ni za kughushi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Takwimu za serikali kwamba imetengeneza nafasi za ajira millioni moja ni za kughushi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tikerra, Jul 17, 2009.

 1. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wimbo wa kutengeza ajira hasa kwa vijana umekuwa wa muda mrefu sana sasa.Hata hivyo hatujasikia mafanikio yoyote yaliyo patikana ya kutia moyo.Tamko la sasa kwamba serikali imepatia wanachi wake ajira millioni moja ni za kutiliwa mashaka sana, hasa ukizingatia historia mbaya ya serikali yetu ya kutojali wananchi wake.

  Ni miaka takribani minne sasa tangu Kikwete aingie madarakani lakini haionekani kwamba serikali ina nia ya dhati ya kuwapatia wanachi wake ajira.Kwanza mimi binafsi najiuliza mara nyingi, hivi serikali inaposema itatengeneza ajira, ina maana gani hasa.Kwanza ina uwezo gani wa kufanya hivyo.Kwa sababu sehemu ambayo serikali ingeweza kutengeneza ajira ni katika taasisi za uma, na hata huko ufisadi unafanya kazi hiyo kuwa ngumu sana.

  Kusema kweli serikali haiajiri siku hizi kabisa, na ukiona inafanya hivyo ujue upo msukumo wa kisiasa!Mbaya zaidi ni kwamba serikali imezusha mtindo wa kuajiri kwa contract waastahafu siku hizi, kana kwamba hakuna vijana wenye sifa za kuajiriwa.Hivi kwa mtindo huu tutafika kweli.Na hawa nao ukomo wao wa kufanya kazi ukifika itakuwaje?

  Inasikitisha kwamba hata serikali inapoajiri vijana, maslahi yanakuwa duni mno kiasi kwamba vijana wanaoajiriwa wanaamua kujiondokea kutafuta kazi kwenye vyombo binafsi.Sasa serikali inaposema kwamba ime create employment opportunities millioni moja,ime create wapi.Ni bora wakawa wazi wakatuambia sisi wanachi ili tujue sehemu ambazo ajiri hizo zimepatikana.Vinginevyo tutaaamini kwamba takwimu serikali ilizotoa ni za kughushi.

  Napenda niseme jambo moja la msingi,kwamba uchaguzi haupo mbali sana ,ni mwaka ujao tu.Sasa rhetoric hizi zote ni za kujaribu kuwa hadaa watanzania ili waamini kwamba serikali yao inawajali.Kama ingewajali ingeanza na kutokomeza ufisadi,achilia mbali vifo vinavyotokana na sumu kule North Mara ambako wanachi wanakufa na serikali haijali kabisa.

  Ni vema kwa hiyo tukawa makini sana, vinginevyo hawa jamaa wataendelea kutuingiza mkenge.Mungu ibariki Tanzania.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jul 17, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Nilifikiri una data za kuonyesha kuwa taarifa ya serikali ni ya kughushi, otherwise post yako ndiyo ya kughushi. Tupe taarifa zinazoendana na title, pls!
   
 3. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hivi unafikiri takwimu zote za serikali yetu -kuanzia sensa mpaka watu wanaokufa katika maafa- zinakuwa za kweli?

  Hata hizi bajeti ni usanii mwingi tu ilimradi waonekane wanaendeleza "mchezo wa redio".

  Hogwash!
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jul 17, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Basi tupe data zako sahihi!
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Hizi nafasi zingekuwa ''practical'' basi walau tungeona kwenye media au vinginevyo!i mean tungesense kitu cha mtindo huo!
   
 6. D

  Domisianus Senior Member

  #6
  Jul 17, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina mashaka sana na maada hiyo hapo juu, japo ametoa ushuhuda ambao unaonekana kuwa mwembamba, lakini that is the reliality,huwezi kusema kuwa serikali kwa miaka minne imetengeneza ajira million moja, hata mtoto wa darasa la tano atasema No, ajira siyo kitu cha kujificha, watupe takwimu kwamba idara fulani iliajiriwa idadi hii (figure) na siyo kusema kwa jumla jumla tu.hakika serikali haijatengeneza hizo ajira, ajili kubwa siku zote inaweza kupatikana kwenye mashirika ya umma na siyo kwa wawekezaji, na mashirika ya umma ndo hayo yanafisadiwa mpaka yanashindwa kujiendesha, Rais aje na mawazo mapya jinsi ya kuwapatia ajira wananchi na siyo kupiga siasa mpaka sehemu ambayo siasa hahitajiki.
   
 7. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Huhitaji kuwa na data sahihi ili kujua kwamba data fulani si sahihi.

  Kwa mfano, unaweza kuwa hujui kwa uhakika square root ya mbili ni ngapi, lakini mtu akikwambia jibu lake ni sita kama una ujuzi mdogo tu wa hesabu utajua kuwa jibu hili si sahihi, hata kama jibu sahihi hulifahamu fika.

  Huhitaji kuwa na data sahihi ili kujua kwamba data fulani si sahihi.
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mkuu data zipi sahihi na wakati hazipo. Mkuu unaamini kweli serikali imeweza kutengeneza ajira milioni moja? Unahitaji takwimu kweli kuona kuwa hicho kitu hakija fanyika? Tumuuliza sasa huyo JK kuwa alipo sema atatengeneza ajira hizo milioni moja alitumia takwimu gani kumuonyesha kuwa mpango wake huo ni practical? Au nae alisema tu hivyo akitegemea akiingia ofisini ajira milioni moja zita kitokeza out of know where zenyewe?
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Jul 18, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Tumeshafika kwenye mahesabu tena? Kama data zako unakiri sio sahihi mbona unalalamikia za wengine? Basi rekebisha title yako ili iendane na post yako. Inawezekana waziri ana definition yake ya ajira, who knows, mikopo ya JK labda wanafikiri ndio sehemu ya ajira yenyewe?
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Jul 18, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Labda hapa kinachogomba ni definition ya ajira, wengi wenu mnafikiri hizo ajira zinatakiwa ziwe za serikalini!
   
 11. Mukuru

  Mukuru Member

  #11
  Jul 18, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Takwimu za ajira milioni moja inawezekana kama tutajumuisha wapiga debe, wauza 'unga" na wengine wa aina hiyo.
   
 12. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hamna neno iwe ya serikali au sekta binafsi. JK aliahidi ajira milioni moja je zime patikana idadi hizo za ajira kutokana na mikakati yake yeye? Au mtu yoyote angeingia madarakani zinge patikana?

  Mfano. Ukimuahidi mtoto zawadi na ikatokea mtu mwingine aka mnunulia zawadi je utasema wewe ume timiza ahadi yako? We just want to see hizo ajira milioni moja ambazo zime patikana because of JK ziwe za serikali, sekta binafsi or whatever.
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Jul 18, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  JK sio kwamba angeajiri watu ila angetengeneza mazingira watu waajiriwe. Sasa hatuna uhakika kama zipo au siyo. Mimi nilichokuwa napinga kwenye thread hii ni kule kusema kwenye title moja kwa moja kwamba takwimu ni za kughushi. Kwa kweli to a reasonable person hizi takwimu ni questionable! Wabunge wetu wafuatilie wajue kama ni za kweli au la.
   
 14. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ajira ni uchumi, uchumi ni hesabu, kama hukuwa katika hesabu mpaka uanze kushangaa "tumeshafika kwenye mahesabu tena" inaonekana somo zima linalozungumziwa hapa limekupita kushoto.Somo zima linazungumzia ajira milioni moja, ambayo ni namba, kwa hiyo tulipoanzia ni kwenye mahesabu, wewe uko usingizini unauliza tumeshafika kwenye mahesabu wakati huko ndiko tulikoanzia, ulikuwa wapi muda wote huu?

  Kwa sababu mimi si serikali na sikutoa ahadi, aliyetoa ahadi inabidi atuonyeshe kwamba ametekeleza ahadi.Nimekwambia kwamba huhitaji kuwa na data sahihi ili kujua kwamba data unazopewa si sahihi, inaonekana kichwa chako kigumu sana kuelewa hii concept, but I am not surprised at all, hukujua kwamba milioni moja ni namba inayohusiana na mahesabu to begin with.

  Mazee wikiendi hii umepitia sehemu sehemu nini kusukutua kidogo? Hebu achilia vitu vipoe kidogo halafu angalia tena uone nani kapost hii thread, usikurupukie watu ovyo tu.

  Regardless ya definition, tupe basi breakdown, tumetoa mikopo kiasi hii iliyofanya kazi hii ikatengeneza ajira hizi.Sio habari za kuwafanya watu wote kama watoto wa kindergatten.

  No data no right to claim triumph.
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  At least by year 2003, bado serikali hawakuwa na uwezo wa kutosha wa kutoa data sahii!! Huu mwaka naukumbuka kwavile niliandika Special Project ( Desartation) kwa ajili ya kupata kadgrii kangu ka Uchumi Kilimo na Biashara!! Baada ya kufanya Analysis zangu, nikaomba BOT Industrial Ratios kwa Poultry and dairy ili niangalie wale niliowa-study mimi wana-stand wapi ( kama wapo efficiency or not as compared to indutrial efficieny)!! I still remember jinsi ambavyo walinijibu!!! " Do you think such data can be available at BOT?" Sizani hata kama leo hii wana data kama hizo!!! Na kwa kuangalia hilo, i also doubt abt the data given by the government!!!
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ahsante Mkuu,

  Kifupi uchumi wetu mzima ni "Data Not Available"
   
 17. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280

  u are 100% right!! Kwani hata pale zinapokuwapo ni full cooked!!
   
 18. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #18
  Jul 18, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ok, pole kwa utabiri!
   
 19. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Pole weye uliyepatikana na hii scam.
   
 20. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  11 Afghanistan 40.00
  127 Akrotiri NA
  43 Albania 13.00
  37 Algeria 14.10
  16 American Samoa 29.80
  126 Andorra 0.00
  127 Angola NA
  68 Anguilla 8.00
  127 Antarctica NA
  50 Antigua and Barbuda 11.00
  127 Arctic Ocean NA
  64 Argentina 8.90
  73 Armenia 7.40
  77 Aruba 6.90
  127 Ashmore and Cartier Islands NA
  127 Atlantic Ocean NA
  94 Australia 4.70
  98 Austria 4.30
  66 Azerbaijan 8.50
  71 Bahamas, The 7.60
  34 Bahrain 15.00
  112 Bangladesh 2.50
  51 Barbados 10.70
  119 Belarus 1.60
  71 Belgium 7.60
  60 Belize 9.40
  127 Benin NA
  115 Bermuda 2.10
  112 Bhutan 2.50
  68 Bolivia 8.00
  8 Bosnia and Herzegovina 45.50
  20 Botswana 23.80
  127 Bouvet Island NA
  57 Brazil 9.80
  127 British Indian Ocean Territory NA
  105 British Virgin Islands 3.60
  101 Brunei 4.00
  68 Bulgaria 8.00
  127 Burkina Faso NA
  92 Burma 5.20
  127 Burundi NA
  112 Cambodia 2.50
  15 Cameroon 30.00
  85 Canada 6.00
  23 Cape Verde 21.00
  97 Cayman Islands 4.40
  68 Central African Republic 8.00
  127 Chad NA
  76 Chile 7.00
  84 China 6.10
  127 Christmas Island NA
  127 Clipperton Island NA
  5 Cocos (Keeling) Islands 60.00
  52 Colombia 10.60
  24 Comoros 20.00
  127 Congo, Democratic Republic of the NA
  127 Congo, Republic of the NA
  42 Cook Islands 13.10
  127 Coral Sea Islands NA
  89 Costa Rica 5.50
  43 Cote d'Ivoire 13.00
  47 Croatia 11.80
  117 Cuba 1.90
  103 Cyprus 3.80
  80 Czech Republic 6.60
  106 Denmark 3.50
  127 Dhekelia NA
  6 Djibouti 50.00
  21 Dominica 23.00
  32 Dominican Republic 15.50
  57 Ecuador 9.80
  55 Egypt 10.10
  83 El Salvador 6.20
  15 Equatorial Guinea 30.00
  127 Eritrea NA
  94 Estonia 4.70
  127 Ethiopia NA
  66 European Union 8.50
  127 Falkland Islands (Islas Malvinas) NA
  115 Faroe Islands 2.10
  71 Fiji 7.60
  80 Finland 6.60
  68 France 8.00
  48 French Polynesia 11.70
  127 French Southern and Antarctic Lands NA
  23 Gabon 21.00
  127 Gambia, The NA
  13 Gaza Strip 34.80
  40 Georgia 13.80
  63 Germany 9.10
  24 Ghana 20.00
  109 Gibraltar 3.00
  67 Greece 8.40
  61 Greenland 9.30
  45 Grenada 12.50
  49 Guam 11.40
  107 Guatemala 3.20
  123 Guernsey 0.90
  127 Guinea NA
  127 Guinea-Bissau NA
  127 Guyana NA
  127 Haiti NA
  127 Heard Island and McDonald Islands NA
  127 Holy See (Vatican City) NA
  17 Honduras 27.80
  101 Hong Kong 4.00
  75 Hungary 7.10
  122 Iceland 1.00
  74 India 7.20
  127 Indian Ocean NA
  58 Indonesia 9.70
  50 Iran 11.00
  28 Iraq 18.00
  93 Ireland 5.00
  120 Isle of Man 1.50
  71 Israel 7.60
  79 Italy 6.70
  54 Jamaica 10.20
  127 Jan Mayen NA
  103 Japan 3.80
  114 Jersey 2.20
  41 Jordan 13.50
  75 Kazakhstan 7.10
  11 Kenya 40.00
  116 Kiribati 2.00
  127 Korea, North NA
  110 Korea, South 2.90
  114 Kuwait 2.20
  28 Kyrgyzstan 18.00
  113 Laos 2.40
  86 Latvia 5.90
  24 Lebanon 20.00
  9 Lesotho 45.00
  3 Liberia 85.00
  15 Libya 30.00
  121 Liechtenstein 1.30
  107 Lithuania 3.20
  97 Luxembourg 4.40
  100 Macau 4.10
  12 Macedonia 35.00
  127 Madagascar NA
  127 Malawi NA
  108 Malaysia 3.10
  127 Maldives NA
  36 Mali 14.60
  78 Malta 6.80
  14 Marshall Islands 30.90
  24 Mauritania 20.00
  62 Mauritius 9.20
  18 Mayotte 25.40
  104 Mexico 3.70
  22 Micronesia, Federated States of 22.00
  115 Moldova 2.10
  126 Monaco 0.00
  107 Mongolia 3.20
  35 Montenegro 14.70
  85 Montserrat 6.00
  34 Morocco 15.00
  23 Mozambique 21.00
  91 Namibia 5.30
  2 Nauru 90.00
  127 Navassa Island NA
  10 Nepal 42.00
  96 Netherlands 4.50
  30 Netherlands Antilles 17.00
  29 New Caledonia 17.10
  106 New Zealand 3.50
  88 Nicaragua 5.60
  127 Niger NA
  87 Nigeria 5.80
  46 Niue 12.00
  127 Norfolk Island NA
  102 Northern Mariana Islands 3.90
  113 Norway 2.40
  34 Oman 15.00
  127 Pacific Ocean NA
  72 Pakistan 7.50
  99 Palau 4.20
  74 Panama 7.20
  1 Papua New Guinea 3419.30
  127 Paracel Islands NA
  31 Paraguay 15.90
  73 Peru 7.40
  69 Philippines 7.90
  127 Pitcairn Islands NA
  44 Poland 12.80
  68 Portugal 8.00
  46 Puerto Rico 12.00
  125 Qatar 0.70
  96 Romania 4.50
  76 Russia 7.00
  127 Rwanda NA
  127 Saint Barthelemy NA
  38 Saint Helena 14.00
  96 Saint Kitts and Nevis 4.50
  24 Saint Lucia 20.00
  127 Saint Martin NA
  53 Saint Pierre and Miquelon 10.30
  34 Saint Vincent and the Grenadines 15.00
  127 Samoa NA
  103 San Marino 3.80
  127 Sao Tome and Principe NA
  43 Saudi Arabia 13.00
  7 Senegal 48.00
  25 Serbia 18.80
  127 Seychelles NA
  127 Sierra Leone NA
  111 Singapore 2.60
  65 Slovakia 8.60
  70 Slovenia 7.80
  127 Solomon Islands NA
  127 Somalia NA
  19 South Africa 24.20
  127 South Georgia and the South Sandwich Islands NA
  127 Southern Ocean NA
  71 Spain 7.60
  127 Spratly Islands NA
  82 Sri Lanka 6.30
  26 Sudan 18.70
  59 Suriname 9.50
  127 Svalbard NA
  11 Swaziland 40.00
  96 Sweden 4.50
  108 Switzerland 3.10
  56 Syria 10.00
  102 Taiwan 3.90
  46 Tajikistan 12.00
  127 Tanzania NA
  118 Thailand 1.70
  6 Timor-Leste 50.00
  127 Togo NA
  127 Tokelau NA
  43 Tonga 13.00
  81 Trinidad and Tobago 6.50
  39 Tunisia 13.90
  58 Turkey 9.70
  5 Turkmenistan 60.00
  56 Turks and Caicos Islands 10.00
  127 Tuvalu NA
  127 Uganda NA
  112 Ukraine 2.50
  113 United Arab Emirates 2.40
  90 United Kingdom 5.40
  95 United States 4.60
  127 United States Pacific Island Wildlife Refuges NA
  53 Uruguay 10.30
  124 Uzbekistan 0.80
  118 Vanuatu 1.70
  63 Venezuela 9.10
  99 Vietnam 4.20
  83 Virgin Islands 6.20
  127 Wake Island NA
  33 Wallis and Futuna 15.20
  27 West Bank 18.60
  127 Western Sahara NA
  15 World 30.00
  12 Yemen 35.00
  6 Zambia 50.00
  4 Zimbabwe 80.00

  source: Unemployment rate(%) 2008 country ranks

  Haya hata unemployement rate yetu haijulikani sasa tutajuaje ajira ngapi zime tengenezwa? Tanzania simply hamna takwimu za kuaminika. Hakuna reliable data Tanzania. Kama hata employment rate yetu haijulikani serikali imewezaje kuja na idadi iliyokuja nayo?
   
Loading...