Takwimu za Mayele vs Phiri, nani mkali?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,072
23,357
Salaaam Wana JF

Baada ya kila upande wa wachambuzi na mashabiki wa mpira kuchambua ubora wa wachezaji hawa king Mayele vs king Phili katika kufumania nyavu leo nimekuletea takwimu zao za msimu huu

Takwimu zao za msimu huu king Mayele ( Mr hat trick) vs king Phili ( no hat trick)

King Mayele:
Michezo:. 7
Magoli :. 11
Assists:. 1
Hat trick:. 2

King Phili
Mechi. 7
Goal. 6
Assists. 0
Hat trick. 0

Takwimu hazidanganyi, Je Nani Ni mkali zaidi Kati ya Mayele vs Phili?????
 
Mayele ana hat trick 2 heavyweight za CAF CHAMPIONS lakini Phil ana goal Kali zaidi pale mjini CAF?????
FB_IMG_16636802076372160.jpg
 
Salaaam Wana JF

Baada ya kila upande wa wachambuzi na mashabiki wa mpira kuchambua ubora wa wachezaji hawa king Mayele vs king Phili katika kufumania nyavu leo nimekuletea takwimu zao za msimu huu

Takwimu zao za msimu huu king Mayele ( Mr hat trick) vs king Phili ( no hat trick)

King Mayele:
Michezo:. 7
Magoli :. 11
Assists:. 1
Hat trick:. 2

King Phili
Mechi. 7
Goal. 6
Assists. 0
Hat trick. 0

Takwimu hazidanganyi, Je Nani Ni mkali zaidi Kati ya Mayele vs Phili?????
Tusubiri huyo "PHILI" akija kucheza ligi yetu ndio tuanze kulinganisha takwimu. Siyo sahihi kulinganisha wachezaji wasiocheza ligi moja.
 
Salaaam Wana JF

Baada ya kila upande wa wachambuzi na mashabiki wa mpira kuchambua ubora wa wachezaji hawa king Mayele vs king Phili katika kufumania nyavu leo nimekuletea takwimu zao za msimu huu

Takwimu zao za msimu huu king Mayele ( Mr hat trick) vs king Phili ( no hat trick)

King Mayele:
Michezo:. 7
Magoli :. 11
Assists:. 1
Hat trick:. 2

King Phili
Mechi. 7
Goal. 6
Assists. 0
Hat trick. 0

Takwimu hazidanganyi, Je Nani Ni mkali zaidi Kati ya Mayele vs Phili?????
Tuwekee na dakika walizocheza kila mmoja.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom