Jorochere
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 994
- 669
Sio kweli kwa.sababu mi nimefanya kazi ikondaa makete sio. Sehemu ya kuishi kama.madereva wa malori hata Moshi ,wapo arushaa ,kigoma sumbawanga so huwezi justify kule ni takataka tu wakinga mnisameheJe kuna barabara kuu inapita Makete?? Malori na madereva wake weka mbali na hii kitu.
Mbeya iko juu sababu ya hali ya jewa na madereva malori nafikiri kuvika boda.
Mtwara kuna ongezeko la wageni (miradi ya gesi na vyuo vingi vimefungua kompasi zao huko) hivyo kuna mwingiliano wa watu mkubwa kuliko Lindi.Ila ngoja kwanza..
Hizi takwimu zina walakini.
Look Lindi na Mtwara kwa Geographical location ni kama mkoa mmoja ni kama kusema arusha na manyara...
Now kwa takwimu hizi inawezekanaje Lindi kuwa 0.4 na mtwara kuwa 2.0
Acha kuwasema vibaya dada Zangu wewe.Baridi ya kule ni balaa. Mapaja ni muhimu sana mida ya usiku kule Njmb halafu wanawake wa kule kama kumsukuma mlevi. Akikukataa kashtaki kwa mwenyekiti wa mtaa
Pale mkuu malori ni mengi mizani, na kama ujuavyo madereva wa malori ndio wanaongoza kwa kuacha yatima walio ungua! Kazi ni kwako!Hivi pale nangurukuru vp nako mkuu!
Zipo ila hazilipi...jambo la msingi ni kua cases za maambukizi mapya zimepungua sana!Aiseee Lindi 0.3 duuh huko papuchi hazpo au wanaume wa huko hawatumii hichi kilevi
Ni nani aliyetoa hizi takwimu na alizipataje ?