Elections 2010 Takwimu;statistics

eeeehh haya !!!!!!!!!!!!!!!!!

King kama unafuatilia politic za Tanzania utanielewa naongea nini, juzi jamaa wa Tanzania Bureau of Statistics wameanzisha mchakato wa kuanzisha chama cha Watakwimu Tanzania, na wanadai Takwimu zote kabla ya kutolewa kwa public lazima zipitie kwao wazihakiki, Jana Makame ameinghilia maswala ya Takwimu na kudai hayana mashiko...bado stay tunned.
 
Du!
 
Waanze na zile ambazo CCM wanatutumia kwa MSG.
Mambo ya synovate nini hayo?
Sasa kama watu wamefanya research yao si wanairelease tuu kwa watu kwa nini ipitie kwao au nao watafanya research?
CCM wameshikwa pabaya.
Alafu kuna sheria ya nchi inademand hivyo au mtu kakurupuka bila kuwa na referrence?
 
Sheria si tatizo kwa Tanzania, wakiona hakuna sheria wataiundia sheria hata kwa mtindo wa hati ya dharura. wewe ni mgeni Tanzania hii?
 
King kama unafuatilia politic za Tanzania utanielewa naongea nini, juzi jamaa wa Tanzania Bureau of Statistics wameanzisha mchakato wa kuanzisha chama cha Watakwimu Tanzania, na wanadai Takwimu zote kabla ya kutolewa kwa public lazima zipitie kwao wazihakiki, Jana Makame ameinghilia maswala ya Takwimu na kudai hayana mashiko...bado stay tunned.

Mkuu nimekuelewa hapa wanataka wachakachue kila kitu JK kazidiwa
 
Tuko pamoja, jamaa wameitisha mkutano mwisho wa mwezi huu na tayari Katiba wanayo na wataipisha siku hiyo hiyo na Gov ndiyo imetoa funds ya zoezi lote.

Why NOW????
 
Na za UN, World Bank na other international agencies wakiwemo CIA na Facts book yao, NBS wanazitaka pia?
 
Back
Top Bottom