Takwimu sahihi matokeo ya uchaguzi mwaka 2010

Vianelly Vian

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
337
195
Kwa mwenye takwimu sahihi za matokeo ya uchanguzi 2010 mgombea urais wa chadema mh WILBROAD SLAA alipata kura nyingi au asilimia kubwa ya waliomchagua walikuwa ni wa mkoa gani,japo mikoa mitano tu
 

sungura1980

JF-Expert Member
May 20, 2013
1,910
1,195
Mbona unaulizia Slaa peke yake?Kwani alikuwa mgombea pekee?Ina harufu ya ukabila thread yako.Na nadhani baadaye utataka kujua alipata kura kiasi gani za wanawake kulinganisha na wanaume,na baadaye tena utauliza alipata kura kiasi gani kutoka kwa waislamu na wakristo!!Tanzania inakoelekea!!
 

kukomya

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
344
195
Bila shaka mleta thread ya kijinga namna hii ni mwanafunzi darasa la Saba
Anayesubiri kwenda kuchukua Div. V sekondari. Haeleweki, hasomeki na wala mtungo wake huu haina tija kwa taifa.
 

Vianelly Vian

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
337
195
Bila shaka mleta thread ya kijinga namna hii ni mwanafunzi darasa la Saba
Anayesubiri kwenda kuchukua Div. V sekondari. Haeleweki, hasomeki na wala mtungo wake huu haina tija kwa taifa.

Me nadhani niko vizuri kuzidi ww ulipokuwa darasa la saba maana hata lami ulikuwa huijui,nipo darasa LA saba lakini nakutoa povu ww mwenye phd hahahahha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom