Takwimu ni muhimu lakini haitoi muchango tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Takwimu ni muhimu lakini haitoi muchango tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Aug 2, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  wakuu na waajamvi.

  serikali ya CCM ina jaribu jaribu kugusa gusa mambo ili uboresha utendeaji wa serikali. Kuna mambo mengi na mradi inaazishwa, inafanyiwa mareekebisho iwe ni umeme, elimu ,bara bara, afya, bank, kilimo ajira n.k Anyway Hii sio lengo la mada


  Lakini kuna kitu kimoja kinakosekana ambacho ni uwepo wa mchangamauo wa kitakwimu za vitu na sekta mbali mbali . Ukiangalia wenzetu waliondela habari zao na viongzi wao mara nyingi wanaongealea takwmu zilizotlewa na vyombo hru mbali mbali vya kitaifa

  Baadhi ya Takwimu zinazotlewa ni kama

  • kiwango cha ajira Marekani kimeshuka kutoka kazi 300 kwa mwezi X mwaka 2010 mpaka kazi eg 20O kwa mwez X mwaka 2011
  • Kipato cha mkulima wa mahindi kimeongezaka toka shilingi 50,000 kwa heka moja mwaka 2010 mpaka 70,000 kwa mwaka 2011
  • wastani wa Gharama a ujenzi au upangaji wa nyumba sehemu mbali mbali
  • Walipaa kodi wakubwa vyanzo vikuu vya kodi, bidhaa zinaochangi kodi wa kiasi ikubwa. taaasisis
  • Kiasi gani benki zimetoa Mikopo kwa wajasirimali wakubwa na wadogo na kiais gani nyumba na mali zimetaifishwa utokana namikoo kutorejeshwa.
  • Utalii - Watalii wangapiwa kigeni waakuja tanzania kwa mwaka? Mwezi gani una watlii wengi. Je ni % ngapi ya watalii wa kigeni wanapokuja tanzania inakuwa ni 1st stop kwa safari yao ya utalii ? Shriika gani au la ndege linaongoza kuleta watalii wengi ? Wataalii wanatumia avarage ya siku ngapi tanzania ? Wakiwa tanzania matumizi yao makubwa ni vitu gani na wanatumia iasi gani kwa siku?
  Na wenzetu takwimu hizi zinapotolewa kila wanataja wa sababu si tu kutaja figure bila uchambuzi wa ndani zaidi. Kujua tu idadi ya watalii haisadii Ofisi ya Takwimu inatwakia ifaute data zaidi ya idadi.....

  Sisi hapa Tanzania Tumezoea wanasiasa tu wakiwa wanatembea ile iadara ya habri maelezo. Its time tubadilike

  Je
  • kwa nini watu wa Tawkimu Kila baada ya miezi mitatu au sita wasijiwekee utaratibu kutoa tawimu mbali mbali zinazoweza kusaidia serikali na hata wananchi wa kawaida katika mipango yao.
  • Ni kwamba kitengo kinadahauruliwa mpaka tu wakati wa sensa au watendaji wake ndio wamesinsia na hawajui kwenda na wakti na mchango wao kwa taifa.

  Kifupi katika utawala Bora Kitengo cha takwimu ni muhimu sana kinataiwa kiwe huru kabisa kama invsemekena vilivyo vitengo vya TAKUKURU, Tume ya Uchaguzi.

  Watu wa Takwimu amkeni kai zenu hazitakikiw kuwa za msimu na seasonal kama tume ya uchaguzi. Hii ni arne mpya...... Inatia aibu kuona wakati wa sensa ndio mu busy.
   
Loading...