Takwimu hazidanganyi: Ajibu wa Yanga ni bora kuliko Niyonzima wa Simba

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
fee714b4eea09240e87f7bcbb764bdf8.jpg

Masahihisho kwenye idadi za michezo Niyonzima amecheza 5 na sio 4.

Wapenzi wa vpl usajili wa Niyo na Ajibu ndio ulikuwa gumzo msimu huu lakini inaonyesha mpaka sasa hivi ajibu anafanya vizuri zaidi.

50million dhidi ya 120M
 
Niyonzima wa simba sio yule fabrigazi wa yanga. kifupi jamaa yuko hana msaada kivile.

Ajibu yuko vyema sana
 
Juzi niyo alicheza 11 ajibu vs kagera n 11
Tathmini ya mechi moja...kwa mtazamo wangu; majukumu ya Ajibu Yanga na Niyonzima Simba, yanatofautiana kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya utumikaji wao.
Ajibu amekuwa akitumika sana kama striker lakini anaetokea pembeni(katika baadhi ya mechi) kwa maana ya kuidanganya timu pinzani huku role yake ikiwa ile ile ya striker kama anavyotumika Okwi. Wakati Niyonzima, ni dhahiri anatumika sana kama kiungo mshambuliaji.
Anyway, hongereni wanayanga kwa kumpata Ajibu,lakini usahihi wa kuwalinganisha kwa muktadha wa utumikaji wao siuoni.Labda kwa kigezo cha kuwa wamehama timu pinzani.
 
msimu ujao naona thamani ya Ajibu ikiwa mara 20 ya garama aliyo nunuliwa, nawashangaa sana simba waliokataa kukaa naye chini na kumpa mkataba mpyaa,
 
Tathmini ya mechi moja...kwa mtazamo wangu; majukumu ya Ajibu Yanga na Niyonzima Simba, yanatofautiana kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya utumikaji wao.
Ajibu amekuwa akitumika sana kama striker lakini anaetokea pembeni(katika baadhi ya mechi) kwa maana ya kuidanganya timu pinzani huku role yake ikiwa ile ile ya striker kama anavyotumika Okwi. Wakati Niyonzima, ni dhahiri anatumika sana kama kiungo mshambuliaji.
Anyway, hongereni wanayanga kwa kumpata Ajibu,lakini usahihi wa kuwalinganisha kwa muktadha wa utumikaji wao siuoni.Labda kwa kigezo cha kuwa wamehama timu pinzani.
Huyo Niyo ana assists ngapi? Ukiacha mambo ya magoli.
 
Takwimu murua kabisa, lakini tusiishie hapa. Tukumbushane pia mwaka jana takwimu zilikuwaje kwa msimu mzima?
 
fee714b4eea09240e87f7bcbb764bdf8.jpg

Masahihisho kwenye idadi za michezo Niyonzima amecheza 5 na sio 4.

Wapenzi wa vpl usajili wa Niyo na Ajibu ndio ulikuwa gumzo msimu huu lakini inaonyesha mpaka sasa hivi ajibu anafanya vizuri zaidi.

50million dhidi ya 120M
Hawachezi nafasi moja hivyo sio sawa kuwalinganisha
 
fee714b4eea09240e87f7bcbb764bdf8.jpg

Masahihisho kwenye idadi za michezo Niyonzima amecheza 5 na sio 4.

Wapenzi wa vpl usajili wa Niyo na Ajibu ndio ulikuwa gumzo msimu huu lakini inaonyesha mpaka sasa hivi ajibu anafanya vizuri zaidi.

50million dhidi ya 120M

Kwahiyo?
 
Tatizo la nio nikuipenda yanga, na kwenye mechi ya yanga anakamia ili asishtukiwe.
 
Ajibu huwa anacheza namba kumi au kumi na moja kadhalika niyonzima sasa mtu anasemaje nafasi tofaut wakat inajulikana fika Sita na nane simba anacheza kotei na mzamiru? Tuache bla bla kwasasa niyonzima bado lbda tusubr subir
 
fee714b4eea09240e87f7bcbb764bdf8.jpg

Masahihisho kwenye idadi za michezo Niyonzima amecheza 5 na sio 4.

Wapenzi wa vpl usajili wa Niyo na Ajibu ndio ulikuwa gumzo msimu huu lakini inaonyesha mpaka sasa hivi ajibu anafanya vizuri zaidi.

50million dhidi ya 120M
Mfannaishe okwi na Ajib mana ndo wancheza nafas sawa acha ushabiki maandazi
 
Back
Top Bottom