TAKUKURU yetu inaweza ikafanya kitu ya namna hii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAKUKURU yetu inaweza ikafanya kitu ya namna hii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Dec 17, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  WanaJF:

  TAKUKURU yetu inayo uthubutu wa kufanya kitu ya namna hii? Soma story hii kutoka kwa majirani zetu.


  Kacc quizzes Ngilu over graft

  By WALTER MENYA,
  Daily Nation, Nairobi.

  Water minister Charity Ngilu has been questioned by the Kenya Anti-Corruption Commission in connection with alleged graft in her ministry.

  The minister arrived shortly after 9 a.m. and left an hour later without talking to journalists, who had camped at Kacc’s Integrity Centre headquarters Friday.

  “I am fine,” was all Mrs Ngilu said before being ushered into her official car that sped off in the direction of the city centre.

  Addressing the press shortly afterwards, Kacc director PLO Lumumba said Mrs Ngilu was responding to summons by the Commission.

  He would not give details of the grilling but explained that the Commission would make appropriate recommendations once they are done with investigations.

  “Madam Ngilu was asked to come here today (Friday) to respond to allegations made about her and a number of officials regarding activities that may be considered economic crimes,” the director said.

  “We wanted to hear her side of the story."

  The minister who arrived at the Commission offices with only her bodyguard met detectives who are investigating the corruption allegations.

  Claims of corruption in the Water ministry were first raised by Mwangi Kiunjuri, now Public Works assistant minister, in October soon after he was transferred from the water docket.

  Mr Kiunjuri who has been at the Kacc offices twice to present his evidence said the award of contracts at the ministry was not transparent and could have led to huge losses of public money. Mr Kiunjuri also claimed there was nepotism in the award of tenders.

  The assistant minister, who blames Mrs Ngilu for his exit from the ministry, alleged that up to eight companies and a non-governmental organisation that had close links with the minister had done business with the ministry.

  A source said the minister took the detectives through a huge bundle of documents.

  Prof Lumumba told the media: “She has seen our investigators and we believe she will continue to work with us. We shall recall her if it’s necessary or when there are issues to be clarified.”

  This was the understanding with the minister, the director explained.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Labda tukumbushane. Lini Takukuru walim-summon a sitting cabinet minister na kum-grill kuhusu ufisadi na ikatangazwa to the public? Takukuru inafikiri Watz wote ni mabwege tu kuwafanya waamini kuwa mawaziri wao ni clean kabisa?
   
 3. S

  Siao Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 4, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Takukur sijui nini is a dead organ in the existing goverment...

  Na wanaishi kwa kodi zetu... shida ni utawala mbovu tulio nao, ambao mtaji wake ni ujinga wa watu wetu wengi... siku zinakuja, ngoja tuendelee kula sangara tupate akili..
   
 4. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu Zak Malang,wewe unaonaje? Unafikiri TAKUKURU wanaweza ku-dare kufanya hivyo? kama hawataishia kumsafisha tu huyo Waziri! Wakati mwingine huwa navutiwa sana na siasa za Kenya ukiondoa hilo la ukabila basi.
   
 5. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nani KUKUKURU? Thubutu. Labda Iundwe upya.
   
 6. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Takukuru ipo kimasilahi zaidi na usitegemee waziri aliyeko kwenye "mtandao" anaweza hata kuitwa kwenye ofisi zao, sana sana kama wana maswali wanaweza wakaenda wao kwake kumuuliza na wataridhika na maelezo yake.

  Ukiukwaji wa sheria na watu waliotiwa mbarani kwa tuhuma za rushwa ni picha tosha ya kuonyesha jinsi PCCB inavyofanya kazi
   
 7. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 280
  Katika nchi ambayo career development ya mtumishi wa umma inategemea zaidi jinsi anavyojikomba kwa walio juu unategemea TAKUKURU au taasisi yoyote ya umma ifanye kazi yake inayotarajiwa? Tuache ndoto. hakuna haja ya kuilaumu TAKUKURU au chombo chochote cha umma kwa ubovu. Hakuna mtumishi wa umma mwenye ubavu wa kufanya chochote bila ruhusa ya wenye chama na serikali yake katika TZ yetu hii.
   
 8. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  TAKUKURU NI TAKATAKA na mzigo mkubwa kwa taifa hili, it is a parasitic organ
   
 9. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Haina wataalam inaokota watu ovyoovyo failures huwezi kudili na mtaalam na mjanja kama wewe sio mjanja hukajenga hoja yakumshinda mjanja; Mjanja labda ni huyo mmoja Bosi wao sasa nae naona hajashiba siku akishiba ataanza kupambana Rushwa; hili chombo kiwe intelligence lazima kiajili Intelligent peoples
   
 10. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #10
  Dec 20, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...bila aibu nasema ulichoandika hapa ni Pumba zaidi ya Pumba.
   
 11. M

  MiratKad JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2010
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 294
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Is it compeletely unreasonable to say that, may be Kenyans are a few steps ahead of Tanzanians in grand corruption and fighting corruption?
   
 12. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwangu mimi TAKUKURU si lolote,ni chombo kilichoumdwa kwa ajili ya kufanikisha mikakati ya mafisadi.Kama mafisadi ni marafiki wakubwa wa Kikwete, what do you expect TAKUKURU to do.Si kama grasshopers tu.
   
 13. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #13
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  it seems that, you do not have any ideal to discuss neither the wisdom to contribute any thing that is why you are doing personal attach to me instead of attaching the context of the matter; the way commented proves that there is no any competent if not intelligent guys in that dead institution as far as you among the PCCB staff; I am you also of that type very sorry try your best
   
Loading...