Mwaka Jana mtihani wa Utumishi ulivuja, gazeti la Jamhuri likaandika hiyo habari, Utumishi wanahojiwa wanasema hakuna aliyeripoti kuvuja mtihani na wanaendelea kusahisha cha ajabu wakafuta matokeo kimya kimya.Bora hao,secretariat ya ajira ndiyo balaa.hata mitihani huwa hawasahihishi kabisa
Kuna mtihani tumefanya mwezi uliopita wa self microfinance, ilinishangaza sana.nikajiuliza wanawezaje kusahihisha mitihani ya watu 1500 kwa muda wa masaa 10 tu na waka apload na matokeo yao kabisa.ila nikagundua kuna mchezo mchafu huwa unafanyika pale.Mwaka Jana mtihani wa Utumishi ulivuja, gazeti la Jamhuri likaandika hiyo habari, Utumishi wanahojiwa wanasema hakuna aliyeripoti kuvuja mtihani na wanaendelea kusahisha cha ajabu wakafuta matokeo kimya kimya.
Watu 1500 ni wachache sana Mkuu, hapo wanasahihisha na kutoa majibu faster.Kuna mtihani tumefanya mwezi uliopita wa self microfinance, ilinishangaza sana.nikajiuliza wanawezaje kusahihisha mitihani ya watu 1500 kwa muda wa masaa 10 tu na waka apload na matokeo yao kabisa.ila nikagundua kuna mchezo mchafu huwa unafanyika pale.
Aisee.sikuwahi kufikiriaWatu 1500 ni wachache sana Mkuu, hapo wanasahihisha na kutoa majibu faster.
Hio eti ndo law enforcement ya kupambana na rushwa..........ni vichekesho kwa kweliTAKUKURU walitangaza ajira nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi za "WACHUNGUZI WASAIDIZI" .Hatua ya kwanza watu waliomba wakajaza taarifa kwenye mfumo na kuambatanisha nyaraka zote zilizohitajika.
Hatua ya pili kuna walioitwa kwenda kwenye usahili wa maandishi (Written Interview), Orodha ya majina ilitoka wakaitwa huko Dodoma chuo cha Mipango na Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) tar 08/Januari 2022.
Hatua ya tatu ,waliopita hatua ya pili ya Usahili wa maandishi (Written Interview) waliitwa kwenye hatua ya tatu ya Usahili wa kuongea (Oral Interview) ambao ulifanyika Kuanzia tar 1 Machi hadi tar 18 Machi 2022 huko Dodoma (Nane nane ). Na Orodha ya walioitwa kwenye Oral Interview iliwekwa wazi .
Sasa kuna changamoto mbili ambazo zinaleta ukakasi sana katika huu mchakato wa ajira ,ambapo TAKUKURU wanapaswa kutoa ufafanuzi wa kutosha sababu kuna viashiria vya Rushwa hasa Upendeleo (Nepotism) , mjuano au hongo ili kuwapa watu nafasi ya ajira jambo ambalo linatengeneza taswira mbaya kwa TAKUKURU.
1. Kuna documents mbili zenye orodha ya majina ya watu walioitwa kwenye Usahili wa maandishi (Written Interview) na Usahili wa kuongea (Oral Interview) , Usahili wa maandishi ndio ulianza baadaye ukafuata usahili wa kuongea (Oral Interview) . Jambo la kushangaza kuna majina ambayo katika orodha ya usahili wa maandishi ulioanza hayakuwepo ila usahili uliofuata wa Oral Interview yapo. Yametokea wapi majina hayo?.
Mfano ,Jina la "Sadick Msabaha Komba " hili jina ni miongoni mwa majina ambayo katika hatua ya awali ya Written Interview halikuwepo katika orodha ya walioitwa ila katika hatua iliyofuata ya walioitwa Oral Interview ambayo ni hatua ya pili baada ya hatua ya Written Interview lilikuwepo.
2. Changamoto nyingine, baada ya Oral Interview , hakuna orodha ya majina ya watu waliopita katika Oral Interview zaidi kuna hiyo taarifa ya TAKUKURU waliyoitoa "Tangazo la kuitwa kwenye Mafunzo ya awali ya Uchunguzi". Wakisema waliopita Oral Interview watatumiwa taarifa kwa njia ya Emails.
Kwanini orodha isiwe wazi ? .Zinatolewa sababu eti ni siri hawapaswi kujulikana kwa sababu wanaenda kuwa ma afisa wa TAKUKURU sio kweli ni njia ya kupachika watu wao.
Kwanini mtu aliingizwa hatua ya Oral Interview ikiwa hakuwepo hatua ya Written Interview,? .
kwa logical Argument ya Syllogism , kupitia Proposition, inferences na conclusion ni wazi mchakato uliharibiwa ,kwani kuna viashiria vyote watu wengi waliotumiwa emails sio waliopita hatua ya Oral Interview .
Ndio maana hata majina ya waliopita katika Oral Interview hayajawekwa wazi. Hoja ya kusema hao watu ni siri hawapaswi kujulikana sababu ya majukumu yao ya kichunguzi ni hoja nyepesi inayotumiwa kuchomeka watu wao.
Uwazi ni jambo muhimu sana katika kupambana na Rushwa na TAKUKURU ilipaswa kuonesha uwazi katika mchakato wote wa utolewaji ajira .Watu wengi wanalalamika kwamba kulikuwa na mambo yasio fuata taratibu (Irregularities) katika mchakato wa usahili wa kazi .
Wengi waliokwenda kwenye hatua ya Oral Interview hawajapata hizo emails na hata marafiki zao walioshiriki pia hawajapata hizo emails, Swali hizo emails za kuitwa kwenye Mafunzo ya awali ya Uchunguzi ametumiwa nani ?.
Kuna haja suala hili mamlaka wakaliangalia kwani linaacha dosari kwa taasisi nyeti ya kupinga rushwa na yenyewe kuhusishwa na Rushwa .
Abdul Nondo .View attachment 2184085View attachment 2184086View attachment 2184089
Ila bongo😅TAKUKURU walitangaza ajira nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi za "WACHUNGUZI WASAIDIZI" .Hatua ya kwanza watu waliomba wakajaza taarifa kwenye mfumo na kuambatanisha nyaraka zote zilizohitajika.

Let's do the simple Math.Kuna mtihani tumefanya mwezi uliopita wa self microfinance, ilinishangaza sana.nikajiuliza wanawezaje kusahihisha mitihani ya watu 1500 kwa muda wa masaa 10 tu na waka apload na matokeo yao kabisa.ila nikagundua kuna mchezo mchafu huwa unafanyika pale.
TAKUKURU Njooni Jf kuna hoja ya msingi inahitajika majibu.TAKUKURU walitangaza ajira nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi za "WACHUNGUZI WASAIDIZI" .Hatua ya kwanza watu waliomba wakajaza taarifa kwenye mfumo na kuambatanisha nyaraka zote zilizohitajika.