Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Toka umejiunga JF leo ndio umeongea la maana kuliko siku zote....... acha tu nkupongeze and keep it upHabari nzuri, ila wakaze buti huko mahakamani mbona wengi hawaendi!? Na wakienda ni kama wanapita mlango ya nyuma na kutokea wa mbele kirahisi. Na hao walio jela mbona hawawapeleki mahakamani wengi wao wanakaa muda mrefu...bila kusahau mahakama ya mafisadi mbona hatusikii lolote kutoka huko ipo au imefutwa? Au ndio vyombo vya habari hawataki tujue kinachoendelea nchini?
Hapa kazi tu
Toka umejiunga JF leo ndio umeongea la maana kuliko siku zote....... acha tu nkupongeze and keep it up
Kwakweli leo nmekupenda bure..... nakuja pm tujadiliane mahariHa ha ha haaaaaa
Eti leo, labda sasa umepunguza kunichachia napoandika humu hadi unaruka ninapoandika kihivi.
Kiu kweli leo kajitahidi utadhani wame haki akaunti yake. Lakini hapo kwenye mahari punguza speed. Mimi ndio mshengaKwakweli leo nmekupenda bure..... nakuja pm tujadiliane mahari
nakuja pm tujadiliane mahari
Nani amekupa ruksa kutumia akili yako kuchangia?Habari nzuri, ila wakaze buti huko mahakamani mbona wengi hawaendi!? Na wakienda ni kama wanapita mlango ya nyuma na kutokea wa mbele kirahisi. Na hao walio jela mbona hawawapeleki mahakamani wengi wao wanakaa muda mrefu...bila kusahau mahakama ya mafisadi mbona hatusikii lolote kutoka huko ipo au imefutwa? Au ndio vyombo vya habari hawataki tujue kinachoendelea nchini?
Hapa kazi tu
Naona wana kuwa waangalifu katika vita hii! Maana serikali zilizopita ni balaa walahi!Habari nzuri, ila wakaze buti huko mahakamani mbona wengi hawaendi!? Na wakienda ni kama wanapita mlango ya nyuma na kutokea wa mbele kirahisi. Na hao walio jela mbona hawawapeleki mahakamani wengi wao wanakaa muda mrefu...bila kusahau mahakama ya mafisadi mbona hatusikii lolote kutoka huko ipo au imefutwa? Au ndio vyombo vya habari hawataki tujue kinachoendelea nchini?
Hapa kazi tu
Kwakweli leo nmekupenda bure..... nakuja pm tujadiliane mahari
Nani amekupa ruksa kutumia akili yako kuchangia?
Haya upesi,weka akili mfukoni na urudi hapa kupiga makofi na kushangilia na kibwagizo cha "hapa kazi tu"