TAKUKURU yaanza kuichunguza CHADEMA kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

1590581171011.png
 
Acha kulalama..

Si tunataka kuwakomesha ccm?
Yani kwa vile sisi chadema ni safi, ngoja takukuru watuchunguze ili tuwafunge domo ccm.

Hakuna mwenye tatizo na hilo, ila tunauliza tu ule uchunguzi wa Takukuru wa mbwembwe kuwa wamekamilisha uchunguzi wa tuhuma za kina Kange Lugola kwa 99%, hatua zimeishia wapi? Sasa kama uchunguzi wa kina Kangi Lugola ulishakamilika na hadi leo hakuna hatua yoyote, je hiyo ya cdm hatua si zitachukua baada ya miaka. Hapa ndio tutaona ile double standard tunayosema kila siku.
 
Kwamba Mashinji huyu anayesusiwa salamu na akina Halima atahojiwa kuhusu chama cha akina Halima.

Kama hakuna upigaji ni vizuri au huo upigaji umhusu Mashinji pia tofauti na hapo hana sababu ya kutokuwachomea!
Kuwachomea ni kueleza ukweli au?
 
Huyu mkuu wa takukuru pamoja na kuwa ametoka kwenye taasisi inayo heshimika kama JWTZ lakini amekubali kutumika kunyanyasa wananchi wasio na hatia kwa manufaa ya CCM.

Hii ndio hatari kubwa ya kutumia wanajeshi sehemu ambazo sio zao

Wakisha zoea kupindisha mambo ipo siku watapindisha sehemu siyo lwa manufaa yao wenyewe.

Wait and see.
Mbona mnaanza kulialia na kuingia siasa?Acheni Takukuru ifanye kazi😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom