Na jana mh. Rais amewasamehe watu(maafisa wa zimamoto) tulioambiwa wameingia mkataba ulioli ingizia taifa hasara ya Tsh. Bil 1000 yaani Trilion 1.Ma-tamthilia yanaendelea, huwa nasikitika sana nikikumbuka ishu ya yule askari aliyefukuzwa kazi baada ya video yake akipokea rushwa kutoka kwa dereva wa daladala kusambaa.
Nasikitika Kwasababu alitolewa kafara wakati kuna watu wanapiga mipunga mizito inayoadhiri karibia kila MTANZANIA...
Hii nchi hatari sana, sasa wa Trilioni kasamehewa halafu eti TAKUKURU wanachunguza Bil 1 alizotoa kwa Wizara ya MichezoNa jana mh. Rais amewasamehe watu(maafisa wa zimamoto) tulioambiwa wameingia mkataba ulioli ingizia taifa hasara ya Tsh. Bil 1000 yaani Trilion 1.
Aisee halafu ni hilo swala la TFF naona limeisha kimya kimya tu mkuu.Hii nchi hatari sana, sasa wa Trilioni kasamehewa halafu eti TAKUKURU wanachunguza Bil 1 alizotoa kwa Wizara ya Michezo
Lugumi issue yake ndio imepotea mjomba, si unajua tena! angekuwa ametokea umatengoni angekuwa na kina sethi kuleeeeeeeee!Ma-tamthilia yanaendelea, huwa nasikitika sana nikikumbuka ishu ya yule askari aliyefukuzwa kazi baada ya video yake akipokea rushwa kutoka kwa dereva wa daladala kusambaa.
Nasikitika Kwasababu alitolewa kafara wakati kuna watu wanapiga mipunga mizito inayoadhiri karibia kila MTANZANIA. Hivi wale waliopunguza gawio la SERIKALI kwenye madini wako wapi?...
Na hapo hapo kuna uwezekano watu wameona mafisadi yako categorized yapo yanayo chukuliwa hatua na yapo yanayodunda tu kitaa.JF siku hizi raha sana! Enzi zile hapa watu wangekuwa wanaweka vidokezo kuhusu "uhusika" wa watuhumiwa! Sasa hivi tunaponda tu, hii inaweza dalili ya kuwa tumegundua kuwa hela za mafisadi zilikuwa zinafanya maisha yetu kuwa "mepesi" nawaza tu wakuu!
Si ndiyo hapoMTEGO MKUBWA HAPO
ZAWADI NONO
MNAJUA HATA BUKU NALO N NONO KWA WENGINE... WANGETAJA HATAKAMZIGO FULAN JAMAN WATU WAUNGE JUHUDI ALETWE HUYOO