TAKUKURU waliotoa Rushwa CCM kwanini mnawarudisha CCM? Tangu lini mtoa rushwa anakwepa kufikishwa mahakamani?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Sianzi na longo longo kabisa na siitaji kuanza nazo katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi lazima tukubali kuanza na longo longo tunatakiwa kwenda, moja la moja.

Nimesoma Gazeti la Mwananchi siku ya leo hakika nimeshangaa sana kuona eti Takukuru wamewachia wale wagombea walio shutumiwa kwa kutoa Rushwa kwa kamati kuu ya CCM itoe maamuzi ili jambo limenishangaza sanaa sikulitegemea kabsa.

Watuhumiwa tangu lini wakarudishwa ccm tena badala kupandishwa kizumbani?

Niwaombe Takukuru walioshutumiwa wote wsfikishwe kwenye vyombo vya dora hakuna namna.
 
Kwahiyo mashtaka ya rushwa siku hizi yanaangalia mtoa rushwa ni chama gani? Takukuru bora muwe mnakaa kimya tu maana haya mambo mnajitia aibu mpaka kizazi chenu cha nne. Sisi tutanunua magazeti na kuyaweka kama ushahidi ili siku mkija kuulizwa msiseme hamkumbuku.
 
Hiyo TAKUKURU yenyewe ni tatizo
 
Kwahiyo mashtaka ya rushwa siku hizi yanaangalia mtoa rushwa ni chama gani? Takukuru bora muwe mnakaa kimya tu maana haya mambo mnajitia aibu mpaka kizazi chenu cha nne. Sisi tutanunua magazeti na kuyaweka kama ushahidi ili siku mkija kuulizwa msiseme hamkumbuku.
Yure mupe yure murupe
 
Sianzi na longo longo kabisa na siitaji kuanza nazo katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi lazima tukubali kuanza na longo longo tunatakiwa kwenda, moja la moja.

Nimesoma Gazeti la Mwananchi siku ya leo hakika nimeshangaa sana kuona eti Takukuru wamewachia wale wagombea walio shutumiwa kwa kutoa Rushwa kwa kamati kuu ya CCM itoe maamuzi ili jambo limenishangaza sanaa sikulitegemea kabsa.

Watuhumiwa tangu lini wakarudishwa ccm tena badala kupandishwa kizumbani?

Niwaombe Takukuru walioshutumiwa wote wsfikishwe kwenye vyombo vya dora hakuna namna.
Mambo yote ni DANGANYA TOTO TU, Tume ya uchaguzi na TAKUKURU vyote vimewekwa MFUKONI na huyu MHALIFU JPM.
 
Naona wanamalizana kwanza na mbowe ili wapate wasaha mzuri zaidi .tuwe na subira , nako watafika

Back
Top Bottom