Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,407
- 92,746
Ila kujenga international airport Chato bila pesa kuidhinishwa na bunge ndio uadirifu?Inafanya nini cha ajabu ? Inazalisha umeme? Wape watanzania 1/20 ya hiyo hela wangekutengenezea hiyo software. Ni wizi tu, period.
Magufuli alikuwa fisadi kuliko kiumbe yeyote nchini Tanzania.