TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

Lissu alitolea mfano wa Ghana, walipotunga sheria ya? Wa kwanza alikuwa waziri was mambo ya ndani kuwekwa ndani wakamcheka
Umesema kweli huwa wanatunga sheria kama vile wanatunga kwa ajili ya kutumika nchi nyingine ambayo wao hawahusiki. Nadhana hata hii Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya 2015 lazima unawatafuta sana Wabunge kama wana biashara au makampuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komedi shooo....DOUBLE STANDARDS
ndiyo zinazofanya watu wa undermine hizo efforts za kuimba mapambio ya kusifu na kuabudu...
Kuna airport zilijengwa nje ya maidhinisho ya bunge,
Kuna hospital 1 ya rufaa imejengwa ndiyo kamati inaambiwa, nje ya ruhusa ya bunge...
Kuna gavana alitafuna hela za TASAF pia,

Kuna miradi ya machinjio, Coco Beach e.t.c

Kule Moshi DC mmoja anaharass wafanyabiashara, hajatakukuriwa...

Hatujaona vurugu za uhujumu uchumi....


Everyday is Saturday...........................:cool:
 
Uchunguzi wa makosa yaliyomtoa kangi lugola ya kamilika kwa asilimia 99%
TAKUKURU WAFIKIA HAPA KWA KESI YA LUGOLA

LUGOLA TAKUKURU
TAKU.png
 
Sijaelewa, uchunguzi umekamilika, watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi wapo nje,

Nashangaa,

upelelezi haujakamilika,
watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi wapo rumande miaka Sasa.

HIYO NI NCHI MOJA, SHERIA MBILI KWA KOSA MOJA?
 
Hivi kuhusu matumizi ya TAKUKURU APP ni wananchi wangapi wataiamini hiyo App na kuwa tayari kuipakua huku App yenyewe ikiwataka watumiaji wa simu waridhie TAKUKURU wapate access kwenye simu zao na ku-manage contacts zilizomo, phone calls, picha, sms n.k?

Labda wasiojipenda maana karibia kila mkazi wa Tanzania ni mlaji na mpokeaji wa rushwa ila tu kiwango ndicho wanatofautiana.
 
Hii sheria mbovu wayotumia kuonea watu inatakiwa itumike na Kwake ili Siku nyingine wasitunge sheria mbovu kwa ajili ya kukomoa wapinzani pekee, afungwe kabila.
 
Jambo muhimu sana kushauri wapinzani,

Lazima wawe makini kila kosa linalotendwa na CCM au viongozi was CCM ambalo linaonyesha kuwa lina viashiria vya rushwa walipeleke TAKUKURU na waweke rekodi zao vizuri, hata kama litapuuzwa, kutupiliwa mbali au vyovyote.

La maana ni rekodi maana tukukuru IPO muda wote na watu tunapita. Mkaanze na hawa wabunge wanaojiuzuru hasa kipindi hiki haingii akilini mtu kupoteza mamilioni ya mafao eti anaunga juhudi. Acha kulalamika lalamika mitandaoni fungus kesi popote kuna siku zitaesjimika.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka kangi kimbia kwa Dipipi mapema kabla jarida hajalipeleka mahakamani...ni mwana CCM mwenzako huyo anaweza kukuelewa...kutembea kwako na ilani ya mwaka 2015 haikusaidii kukuokoa kwanza inakaribia ku expire....
Ukizunaa wanakufunga...ohoooo!!
 
Back
Top Bottom