TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

Hivi Babu Seya alifungwaje vile. Binadamu ni wabaya wanaweza kununua mpaka minor wakutolee ushahidi wa uongo. Yaani Sabaya alale na wanawake 40 na wote watokee kutoa ushahidi?!
Sawa lakini tuendelee
Hamia Burundi....
 
Sasa wakati anafanya jinai zote hizo vyombo vilikuwa wapi?
Ngoja "nikutukane" kwànza ndiyo nitapata Cha kuandika. Wewe rafiki yangu Pumbavu zako, si Jiwe alikuwa ana sanction unyama wote huu. Yote yalikuwa na baraka za Jiwe nawe ikawa unashabikia, leo unajitia hamnazo. Kwani hujui? Huna maana kabisa wakati wewe nawe ndiye CCM na haya yote yamefanya na Jiwe kwa niaba ya CCM
 
Weka source Tafadhali!

Hii ya uchumba wa Ole na Kidoti ndio imenivuruga!
Huyo kidoti hamna kitu, ni vile tu ni mtu wa macamera, na ukitaka kuwakamata watz basi wewe uwe mtu wa macamera, kila unachofanya hata kama ni kidogo, ita waandishi. Kiongozi anayefanya kazi mbele ya macamera ni wa kuogopa kama ukoma.
 
Wakili msomi Jebra Kambole amesema Ole sabaya ama apelekwe mahakamani au aachiliwe lakini Takukuru kuendelea kumshikilia kwa siku kadhaa sasa ni kinyume cha sheria na katiba.

Mzee Mgaya anasema Takukuru waweke wazi tuhuma dhidi ya DC Ole sabaya vinginevyo wananchi wenye mapenzi mema watahisi kijana huyu mzalendo anaonewa kwa sababu alimdhibiti Mbowe.

Jumaa kareem!
 
Ebu tuondolee mawazo ya kijima hapa.
 
Back
Top Bottom