TAKUKURU tuambieni haraka aliyehusika na kashifa ya Radar

MovingForward

JF-Expert Member
Nov 10, 2009
489
49
Kama TAKUKURU mnasema Chenge hahusiki, tuambieni ni nani anayehusika kwasababu kashifa na ubadhirifu vipo wazi.
 
Kwa kweli suala hili la kumsafisha Chenge linatia uchungu waTanzania. Mimi nimejisikia vibaya sana karibia nitoe chozi. Hivi jamani tumeshapata jibu la mabilioni ya chenge aliyoyaita 'vijisenti' aliyatoa wapi? Hivi kweli Chenge atasaidia kuendeleza maskini wa Tanzania? Tupate basi majibu ya nani alinunua rada kama sio huyo Chenge. Mbaona tuambiewe tu hivyo kwa kifupi. Takukuru wanakula mishahara yetu. Mbona wasitufanyie kazi vizuri. Watueleze vizuri jamani!
 
Hii nchi sijui tunaipeleka wapi? yaani huyu fisadi wa kutupwa anasema hana kosa?
 
Mwaka 2015 ndipo mtakaposhangaa pale Lowasa atakapokuwa Rais,Chenge waziri wa Madini,Rostam waziri wa Fedha na January Makamba Waziri Mkuu
 
Kwa kweli suala hili la kumsafisha Chenge linatia uchungu waTanzania. Mimi nimejisikia vibaya sana karibia nitoe chozi. Hivi jamani tumeshapata jibu la mabilioni ya chenge aliyoyaita 'vijisenti' aliyatoa wapi? Hivi kweli Chenge atasaidia kuendeleza maskini wa Tanzania? Tupate basi majibu ya nani alinunua rada kama sio huyo Chenge. Mbaona tuambiewe tu hivyo kwa kifupi. Takukuru wanakula mishahara yetu. Mbona wasitufanyie kazi vizuri. Watueleze vizuri jamani!

Kwanza nashangaa hao wananchi wajinga waliompa ubunge, Chenge hatoshi kuwa hata mjumbe wa nyumba 10. CCM "Chama Cha Mifisadi" wataachaje kumpewndekeza kmtu atrkayelinda maslahi yao?
 
Back
Top Bottom