MovingForward
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 489
- 49
Kama TAKUKURU mnasema Chenge hahusiki, tuambieni ni nani anayehusika kwasababu kashifa na ubadhirifu vipo wazi.
Kwa kweli suala hili la kumsafisha Chenge linatia uchungu waTanzania. Mimi nimejisikia vibaya sana karibia nitoe chozi. Hivi jamani tumeshapata jibu la mabilioni ya chenge aliyoyaita 'vijisenti' aliyatoa wapi? Hivi kweli Chenge atasaidia kuendeleza maskini wa Tanzania? Tupate basi majibu ya nani alinunua rada kama sio huyo Chenge. Mbaona tuambiewe tu hivyo kwa kifupi. Takukuru wanakula mishahara yetu. Mbona wasitufanyie kazi vizuri. Watueleze vizuri jamani!