Takukuru na usalama wa taifa wamelala airport

KUKUBOI

Member
Aug 14, 2011
10
0
Mimi naomba kuuliza vyombo vya Serikali Usalama wa Taifa,takukuru,naTAA.huyu bwana Devid ngarapi ni mwezenu au yeye ni nani tumechoka vitisho vyake pale cargo gate no 6c Julius Nyerere International Airport na kwa nini ajiite usalama mara takukuru wakati tunajua ukweli kama yeye ni airport security TAA. Au mmemtuma akusanye pesa kwa sisi maagents kwa kila mzigo unaotoka pale au amejiamulia mwenyewe nakama hamjamtuma kwa nini hamumchukulii atua mmelala hamuoni au kunamgao na nyinyi mnafaidika tumeandika barua JNIA nakala Takukuru lakini mpaka sasa miezi mitano hakuna hatua yoyote.mimi nakushaurini tena wizi rushwa anazisababisha yeye mizigo yote ya wizi kaipitisha yeye alafu munatulaumu maagents.au amewazidi akili, hivi sasa anamaliza shahada Tumaini sijui kama mtamuweza tena,huyu ni fisadi wa miaka ijayo kakabidhiwa gate tu anakusanya laki tatu mpaka tano kwa siku je akipewa umeneja? Kama mmeshindwa kumuondosha sisi tutamuondosha kwa maandamano.

Lipoti hiyo hapo juu tuliilusha kwa wana JF wiki iliyo pita na tuliahidi kama vyombo vya serikali vimeshindwa kumtoa na kumchukulia hatua kwa vitendo anavyofanya cargo sisi tutamtoa kwa maandamano sasa tumepata ushauri kwa wadau sikuizi mambo azarani tumewapelekea kambi ya upinzani Bungeni lipoti yote ya matukio na nyaraka zote za mizigo ambazo aloshiriki kuitoa bila ya ushuru wa serikali kulipwa ninaamini atajitokeza waziri alokuwa chini ya wizara yake kujibu hoja hapo tutajua kawekwa na nani na kwa nini achukuliwi atua.wana jamii hii mnaiyonaje si imekaa vizuri au.
 
Kukuboi...wengi unaowaongelea wamo humu usiogope sana ila fwata ushauri wangu hayo ni matatizo ya kujaza
ndgu kwenye kazi na kuhakikishiwa mgao usifikiri swissport ajui ama hao wa taa awajui wanajua fika mwisho wa siku
wanagawana
 
Back
Top Bottom