Takukuru na usalama wa taifa wamelala airport

KUKUBOI

Member
Aug 14, 2011
10
0
Mimi naomba kuuliza vyombo vya Serikali Usalama wa Taifa,takukuru,naTAA.huyu bwana Devid ngarapi ni mwezenu au yeye ni nani tumechoka vitisho vyake pale cargo gate no 6c Julius Nyerere International Airport na kwa nini ajiite usalama mara takukuru wakati tunajua ukweli kama yeye ni airport security TAA. Au mmemtuma akusanye pesa kwa sisi maagents kwa kila mzigo unaotoka pale au amejiamulia mwenyewe nakama hamjamtuma kwa nini hamumchukulii hatua mmelala hamuoni au kunamgao na nyinyi mnafaidika tumeandika barua JNIA nakala Takukuru lakini mpaka sasa miezi mitano hakuna hatua yoyote.mimi nakushaurini tena wizi rushwa anazisababisha yeye mizigo yote ya wizi kaipitisha yeye alafu munatulaumu maagents.au amewazidi akili, hivi sasa anamaliza shahada Tumaini sijui kama mtamuweza tena,huyu ni fisadi wa miaka ijayo kakabidhiwa gate tu anakusanya laki tatu mpaka tano kwa siku je akipewa umeneja? Kama mmeshindwa kumuondosha sisi tutamuondosha kwa maandamano.
 
Mhuuuu, kumbe hata JKNiA kuna taaa kuuukuuu ruuuuuuu?!!!!!, na UWT, mi nilijua pale wanakaaga watoto wa vigogo ili wapate ngapingapi za kuendea club!.
 
kaka wapo lakini ni nyoka kibisa au ndio hao watoto wa vigogo maana hawatusaidii kitu zaid ya kutuumiza zaid.
 
Back
Top Bottom