TAKUKURU, Mtumishi wa Umma anaponunua kipindi kwenye radio au TV kujadili masuala ya utendaji wa Serikali ni rushwa au si rushwa?

Sabaya ana fikiri ana jijenga kumbe ana jipaka mavi usoni.

Mh. Rais Samia sio wa kudanganywa kweye media. Maana ana mjua Sabaya kuliko yeye Sabaya anavyo jijua. Kama Sabaya uko nyumba ya serikali anza kuhamisha vyombo.
ngoja apewe U kuu wa Wilaya tena ama awe RC ndiyo utajua. Wewe subiri. Siasa za Tanzania hizi
 
Wivu na Roho mbaya haisaidii. Akitenguliwa wewe utafaidika nini?
 
Sabaya ana fikiri ana jijenga kumbe ana jipaka mavi usoni.

Mh. Rais Samia sio wa kudanganywa kweye media. Maana ana mjua Sabaya kuliko yeye Sabaya anavyo jijua. Kama Sabaya uko nyumba ya serikali anza kuhamisha vyombo.
Dah unabiii
 
Back
Top Bottom