TAKUKURU MPO?; Hivi ndivyo Tanesco inavyoiba fedha za Askari Magereza na askari polisi

lewis acid

Member
Mar 21, 2017
57
120
Asalam Aleykum wanabodi.
Nimekutana na mkasa wa kusikutisha kidogo, wakati Mhe. Rais anawaambia watanzania watembee kifua mbele, hali ni tofauti sana.

Kuna watendaji wa mashirika ya umma wanapiga dili kwa kasi ya ajabu.
Ile kauli ya mhe Rais aliyosema "Kata umeme" mameneja wa Tanesco wakishirikiana na wakuu wa vituo vya Magereza na Polisi wanapiga dili kwa kuwachangisha fedha nyingi askari kwa kile kinachosisitizwa Kama msipochanga fedha umeme utakatwa. Ikumbukwe nyumba za serikali hakuna mwenye jukumu la kuziwekea umeme kwa lazima.

Nimepata taarifa nyingi kutoka sehemu mbali mbali ambazo nitazitaja;
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tabora( Sio mkoa mzima).
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tanga(Hususani wilaya za Pangani, Handeni na Korogwe).
Meneja wa Tanesco Mkoa wa Shinyanga(baadhi ya wilaya) n.k

Hapa natoa hints, Takukuru nawapa pa kuanzia.

Kila askari ameambiwa kuchanga kiasi Cha fedha takribani 200,000. Tena wanaambiwa ni amri kuchanga fedha hizo na asiyetaka atakaa giza na umeme utafungwa ndani ya vyumba vya wafungwa peke yake, na wameambiwa ni marufuku Askari kwenda kupanga Uraiani, tafsiri yake ni kwamba lazima wakae kambini ili waweze kutozwa fedha.

Hint nyingine nawapa Takukuru, fuatilieni fedha zilizotengwa na serikali mwaka wa fedha 2016/17 na 2017/18 kwa ajili ya kufunga umeme wa Lipia Kadri utumiavyo(LUKU), kuna baadhi ya sehemu fedha hizo zimeliwa na Mameneja na ndio maana nguvu kubwa inatumika ili kuwachangisha wahusika kwa kuwatishia watakatiwa umeme.

Haya mambo yanafanyika kwa ushirikiano mkubwa wa Mameneja, wakuu wa vituo vya Magereza, wakuu wa Magereza Mikoa, mafundi umeme wa Tanesco na mafundi umeme Askari.

Takukuru fuatilieni hili, hakuna siku serikali imewahi kusema wafanyakazi wajifungie umeme kwa ela zao binafsi tena kwenye nyumba za serikali, vinginevyo Serikali ingetoa nafasi ya kusema itawalipa wote wanaotumia fedha zao kufunga umeme.

Takukuru nawambieni fuatilieni, fedha za kununua Mita za Luku zimeliwa na Mameneja wakishirikiana na hao waroho wengine niliotaja.

Kwa hilo mnalofanya nyie wakuu wa Magereza, Polisi na Mameneja Tanesco mnajenga chuki za Askari dhidi ya serikali. Askari wataanza kuichukia serikali yao, hii ni hatari sana.
 
Tarehe 24 April 2018 ndo mjitetee sasa tutashangaa tukiona mnapiga raia.
 
Mshenzi wewe utakuwa polisi mbona nyie mnachukua pesa za raia kwa kuwasingizia kesi, vitisho na rushwa??

Tena nyie polisi ndiyo kabisa waovu kuliko taasisi yeyote ile barabarani ndiyo kabisa shetwani wakubwa mali ya dhuruma huenda kwa dhuruma.
 
Back
Top Bottom