Takukuru mkoa wa Dodoma mchunguzeni hakimu huyu

Pelekete

Senior Member
Jun 22, 2013
107
25
Hakimu wa mahakama ya mwanzo mpwapwa mjini Isse malya mzigabe ni tatizo lakini pia anaudhalilisha muhimili unaoheshimika sana wa mahakama kwa mfano ukifika gereza la ilolo kuna mahabusu wana miezi kibao ndani sababu tu hawana sh.laki tatu keshi kwa ajili ya dhamana kwani alitangaza kupitia mkuu wa gereza kuwa dhamana ni laki tatu keshi,pili kuna mahabusu yupo tangu mwezi dec 2012 yy anakesi ya uharibifu mazingira huyu bwana aliambiwa atoe sh. Laki nne na nusu mwezi wa tatu mke wake alimpelekea hakimu isse
 
Binafsi namfahamu hakimu kwa jina nyolosa kiukweli hafai kuitwa hakimu,hiyo kesi ya mazingira ya huyo kijana naifahamu vizuri walishtakiwa wakiwa watatu mmojawao aliugua gerezani na kufariki mwingine alifanikiwa kumpa hakimu lakinne na nusu na hivyo kuachiwa huru na kwa maelezo ya mahabusu huyo maeneo waliofyeka walipewa na uongozi wa kijiji chao kwa pesa.
 
Sorry sikumaliza topic ni kwamba siku ambayo mke wa mahabusu huyo alimpelekea hakimu isse malya sh.lakimbili na nusu ndipo dhamana ilipofungwa rasmi mpaka atakapokamilisha laki mbili iliyobaki ni takribani miezi mitatu imepita sasa.
 
Hiyo ndiyo Tanzania yetu.
 
Hiyo ndiyo Tanzania yetu.

Kuna tetesi nimezipata jioni hii hapa mpwapwa kwamba kibuli alichonacho hakimu nyolosa kinatokana na kulindwa na kiongozi mmoja wa juu hapa wilayani,kiasi cha kuwanyanyasa watanzania bila sababu za msingi.
 
Hakimu wa mahakama ya mwanzo mpwapwa mjini Isse malya mzigabe ni tatizo lakini pia anaudhalilisha muhimili unaoheshimika sana wa mahakama kwa mfano ukifika gereza la ilolo kuna mahabusu wana miezi kibao ndani sababu tu hawana sh.laki tatu keshi kwa ajili ya dhamana kwani alitangaza kupitia mkuu wa gereza kuwa dhamana ni laki tatu keshi,pili kuna mahabusu yupo tangu mwezi dec 2012 yy anakesi ya uharibifu mazingira huyu bwana aliambiwa atoe sh. Laki nne na nusu mwezi wa tatu mke wake alimpelekea hakimu isse

makubwa haya madogo yana nafuu...........
 
Kuna tetesi nimezipata jioni hii hapa mpwapwa kwamba kibuli alichonacho hakimu nyolosa kinatokana na kulindwa na kiongozi mmoja wa juu hapa wilayani,kiasi cha kuwanyanyasa watanzania bila sababu za msingi.

kama ametajwa hakimu kwanini huyo kiongozi wa wilaya hatajwi....ili ajulikane
 
Hii inafanyika Tanzania wanjameni;
Wilaya yenye mkuu wa Wilaya?
Wilaya yenye DAS?

Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu wa raia na pia kama hii ime leak mpaka huku jamvini ina maana hata mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa na DAS wake wameshalijua siku nyingi na wamepiga kimya kwa sababu ambazo haziko wazi. Tuseme basi nao ni sehemu huo mgawo.
 
mshirikiane na PCCB kumwekea mtego

mambo mengine hayaitaji mitego ni swala la wahusika kwenda gereza la ilolo kuhoji mahabusu wote wa mahakama ya mwanzo mpwapwa watashuhudia vioja vya karne maana kuna mahabusu wanasubili hukumu zaidi ya miezi minne kama sio kuitia hasara serikali ni nini sasa?kisa ndugu zao hawatoi pesa.
 
Ifikie mahali watu km hawa tuwe tunawawajibisha sisi wenyewe tu km wanalindwa na vigogo juu,si wanagawana! Choma moto nyumba zao washenzi hao
 
mambo mengine hayaitaji mitego ni swala la wahusika kwenda gereza la ilolo kuhoji mahabusu wote wa mahakama ya mwanzo mpwapwa watashuhudia vioja vya karne maana kuna mahabusu wanasubili hukumu zaidi ya miezi minne kama sio kuitia hasara serikali ni nini sasa?kisa ndugu zao hawatoi pesa.
Huwa inafanyika mara kwa mara kwa kushirikiana na kitengo cha haki za binadamu ila huwa haitangazwi. Hutembelea mahabusu na kuwahoji mahabusu. Na hata ikibidi Judiciary wenyewe huwa wanafanya utafiti kama wanaona mafaili mengi yamejaa mahakama fulani huwa wana special assignment ya kufanya clearance lakini hii lazima kuwe na ushirikiano wa karibu kati ya jamii, mahakama husika, na watu wa haki za binadamu pale mambo wanapoyajua hayako sawa huyafanyia kazi kwa pamoja na kujua tatizo nini na kulishughulikia.

Ila kwa huyu hakimu wa Dodoma haitoshi kulalamika JF. Kama una uhakika na hili ni kumripoti kwa msajili wake wa mahakama husika au PCCB na watamfuatilia. Ila mtu husika atoe ushirikiano wa kutosha.
 
kwa upande wangu siasa zimenipita kushoto ila serikali iliyopo madarakani itazidi kujengewa chuki na wananchi kwa sababu ya kutodili na kero kama hizi za wananchi wa chini,mfano nimeshudia hakimu wa mahakama ya wilaya anachapakazi vizuri sana kahamia muda si mrefu hapa mpwapwa lakini ni mchapakazi sana na mwenyezi mungu amuongoze yule dada kwani nidhamu imejengwa kuanzia ofisi ya makalani hakuna upuuzi.
 
Nakubaliana na wewe mkuu mahakama ya wilaya ya kuna nidhamu ya hali ya juu nashauri mh hakimu wa wilaya afuatirie kwa ukaribu utendajikazi wa hakimu huyo wa mahakama ya mwanzo mimi pia nafahamu mauzauza yake ana mtu maalumu pale mpwapwa ukitaka kutoa rushwa unaipeleka kwa huyo jamaa nalitafuta jina lake nitalimwaga hapa jamvini.
 
mbona anafehemika bana si mohamed jumapili mchezaji wa zamani wa timu kubwa hapa mpwapwa.
 
Huyo ndio hakimu wa mahakama ya Mwanzo Mpwapwa Mhe ISSA MZIGABA ISEMALYA.
Kabila lake ni Msukuma watu wa mautani na mizaha kibao lakini mizaha yake katika haki za kimahakama ni Mauti ya watuhumiwa.

Mpwapwa Mpo? Jitahidini kumuanika.
Hivi hapo kwenu hakuna Ofisi za Usalama wa Taifa; Mkaripoti?
Hakuna Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); Mkaripoti?
Je ofisi zote za kutetea wananchi hazifanyi kazi au zimemilikiwa na hakimu?

BAzazi hataki kuamini kitu hiyo.
 
Back
Top Bottom