TAKUKURU, kwanini mnaivua tena nguo CCM? Tuacheni tupumue jamani!

Hakuna mtu mnafiki na mzandiki Kama wewe kiumbe unayejiita Mzee Tupatupa wa Lumumba.
Kwanza kabisa unajulikana wewe ni Kada wa Chama gani. Pili, umejivisha Ukada wa Chama tawala ili kuhadaa watu. Hizo sarakasi na mauno unayokata mwisho ya siku yatakuvua wewe nguo kweupeeee mbele ya watoto na wakwe zako.
Za Mzandiki ni 20.....muda utakufichua. Umejaa Chuki na Visasi kama umeibiwa Mke na Dada yako na mtu mmoja. Pathetic.
Sijawahi kuchukia binadamu maishani, Ila sipendi viumbe Kama nyinyi mnaotujaza Chuki sisi walala hoi kwa manufaa yenu binafsi.
Ilhali ikifika wakati mnaenda kuchukua Posho na ruzuku kutoka Serikalini. AIBU YENU!
Matusi ya nini?
 
Walala hoi hawana bando la kuja kupiga porojo na vitekno vyao humu JF.
Wewe ni kilaza mwingine toka Lumumba.
 
Sasa mbona tena chadema wanawapokea hao (majizi) hadi kuwafanya wagombea urais?!
Kwa hoja zako - ccm ina tofauti gani na chadema.
Ripoti ya II ya MAKINIKIA imetaja makada wa CCM kama watu mahiri kufanikisha zoezi la kuibiwa rasilimali za Taifa hili kupitia mikataba mibovu
 
Jana Mbunge wa Kilwa Kaskazini (CCM), Murtaza Mangungu akizungumza na gazeti hili, alisema sakata hilo linatakiwa liishe kwa kuwa linaumiza uchumi wa nchi kwa kuwa mtambo wa IPTL ni matatizo.

"Hili jambo kwa namna yoyote lazima liishe na kwamba mwisho wake ni bora tutaifishe ule mtambo na ufie mbali," alisema Mangungu.
Gazeti hili ndio gazeti gani???Wanaccm na wabunge wa ccm wanatega chambo,akifanya jambo Magufuli wao ndio wanaibuka,hawakumbuki kuwa awali waligonga meza kwa vifijo na kuwazodoa waliopiga kelele juu ya wizi huu!
Siku JPM akigeukia katiba,wanaccm nao watageuka huko!
 
Hakuna mtu mnafiki na mzandiki Kama wewe kiumbe unayejiita Mzee Tupatupa wa Lumumba.
Kwanza kabisa unajulikana wewe ni Kada wa Chama gani. Pili, umejivisha Ukada wa Chama tawala ili kuhadaa watu. Hizo sarakasi na mauno unayokata mwisho ya siku yatakuvua wewe nguo kweupeeee mbele ya watoto na wakwe zako.
Za Mzandiki ni 20.....muda utakufichua. Umejaa Chuki na Visasi kama umeibiwa Mke na Dada yako na mtu mmoja. Pathetic.
Sijawahi kuchukia binadamu maishani, Ila sipendi viumbe Kama nyinyi mnaotujaza Chuki sisi walala hoi kwa manufaa yenu binafsi.
Ilhali ikifika wakati mnaenda kuchukua Posho na ruzuku kutoka Serikalini. AIBU YENU!
Meza panadol upunguze maumivu.
 
Ccm kwa pesa ni kama paka na maziwa
IMG_20161103_093228.jpg
 
JANA sisi CCM; hizo pesa za TEGETA-ESCROW sio pesa za umma, ni mali ya IPTL kabisa, wanawadai TANESCO hizo pesa, Rugemalira sio mtuhumiwa amelipa kodi yote., JK jembe, tunamuunga mkono kwa asilimia zote.

LEO sisi CCM; Safi, JPM jembe sana, safi sana, zile pesa za TEGETA-ESCROW ni mali ya umma, wakamatwe, IPTL hawafai, wametutia hasara sana, tunamuunga mkono JPM kwenye hili.., Rugemalira ni FISADI afungwe..

#My_Take; ukipewa akili za watu hawa wa CCM, basi tambua kabisa unaishi kwenye kundi la kuku ambao mchana wanakula mchele jioni wanaliwa kwa Wali.., Akili sawa na kifurushi cha Jaza Ujazwe!
IMG_20161103_093228.jpg
 
Rejea tafiti ya Twaweza,ccm inapendwa na wasio na elimu masikini wa kutupwa
 
Mngechuna tu. CCM sasa itadhalilika tena. Kuhusu madini,ilitubidi makada tujikaushe na kuwa vigeugeu kuhusu kuyalinda madini. Sheria na mikataba ilipofanyika sirini,makada tuliunga mkono na kushangilia

Wapinzani waliotaka uwazi wa mikataba na usawa wa kisheria walikuwa maadui zetu. Tuliwaponda bila kuwapenda na tuliwataka viongozi wetu chamani waongeze mwendo wa jembe na nyundo. Wapinzani walisema kwa kuhema,tukawakebehi kama watu wa Bahi. Mambo yakawa yalivyo

Sasa,bila aibu hata chembe hata ukubwa wa wembe,tunamshangilia Rais na Mwenyekiti wetu kurekebisha Sheria na kuianika mikataba. Ile ile ya wakati ule. Kwa jambo hili,CCM tukavuliwa nguo na kudhalilika kiuhakika. Lakini,kisiasa inakubalika.

Sasa TAKUKURU mnalenga kutuvua tena nguo wanaCCM. Kuanzia Mwenyekiti wetu hadi kada wa shina,msimamo wetu ni kwamba Escrow haikuwa pesa ya umma. Waliosema za umma tuliwazodoa na kuwashambulia kwa hoja za haja. Tulisema waliochota Escrow wamechota pesa zao. Na waligawa zao.

Wamehujumu vipi pesa zao? Itakuwaje waliogawiwa wote wakiunganishwa nao kama Mushi alivyounganishwa na Melo? Wote ni makada. CCM si itatikisika kuliko miti wakati wa masika? TAKUKURU,mngetuacha tupumue jamani

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Kwani wabunge wa CCM walitoa michango gani kuhusu hili sakata?

Je maazimio yaliyopitishwa na bunge yalipitishwa kwa wingi na wabunge wa chama gani?

UKIWA MUONGO UJUE NA FACTS

Aliyewaondoa Mawaziri wahusika ni nani?
Maazimio ya PAC yalipitishwa na bunge ambapo walio wengi ni wa CCM. Mwenyekiti wa CCM wa wakati huo, huku akiyajua vema maazimio ya bunge, akatoa tamko kuwa pesa ys escrow si ya umma, japo aliwawajibisha kisiasa baadhi ya watu (kauli ya mweyekiti wa chama ni kauli ya chama). Well huyu wa sasa naye keshajua kuwa ya makinikia ni magumu kwa hiyo lazima awe na pa kutokea kiaina. Leo ansuza nanii pwani.
 
Kauli ya Mwenyekiti wetu Kikwete unaikumbuka?

Mzee Tupatupa
tunasubiri JK afike mahakamani kuwatetea Sethi na Ruge maana walichukua hela zao (hawakujiibia).
ni kama ambavyo Ben Mkapa alipostaafu alienda mahakamani kumtetea yule balozi aliyekuwa ameshitakiwa na serikali ya JK.
 
Mjomba usiwe na wasiwasi,hiyo pia ITAPITA kama MAKINIKIA.!Hakuna cha Mla Rushwa wala Mla Ufisadi tunatafuta Front page tu
July 3, 2017 seth na ruge wanatoka keko kwa dhamana na ndo itakuwa mwisho wa filamu, majizi sterling yatakuwa yameshinda?
 
Back
Top Bottom