TAKUKURU kurekebisha makosa kwa kupunguza majina yaliyojirudia bado haijanishawishi kuja oral

Imagine mimi nimeanza kuomba toka za upolisi hadi leo hii ..nimekutana na vitu vingi nimejifunza Sana ..bila connection hupati
Connection ndo habari ya mjini mkuu bila connection tutamaliza nauli tu kwenda kwenye interview zisizo na maana
 
Connection zipo ,

Lakini kuna watu wana bahati zao...kuna % fulani wabahatika bila connection...
Ni kweli ila kupata kazi au dili lolote bila connection ni mpaka wawe na uhitaji mkubwa na watu waliopata connection wawe hawatoshi ndiyo watachukua the rest applied
 
Back
Top Bottom