Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takukuru kaeni mkao wa kula.
Kazi mmeshafanyiwa hivyo iliyobaki ni kwenu na DPP, Rais akitangaza baraza jipya la mawaziri nyie mnawadaka wezi.
hii ni taasisi itakayoendelea kutumika kisiasa kama zilivyo taasisi nyingine za ulinzi na usalama mpaka hapo ikiandikwa katiba mpya itakayo wawezesha fanya kazi kwa masilahi ya nchi badala ya chama tawala!It ridiculous if you still believe on this chaps called Takukuru!!They are looters and corrupt how do you expect them to combat corruption! or you are expecting them to commit suicide??
It ridiculous if you still believe on this chaps called Takukuru!!They are looters and corrupt how do you expect them to combat corruption! or you are expecting them to commit suicide??
Takukuru kaeni mkao wa kula.
Kazi mmeshafanyiwa hivyo iliyobaki ni kwenu na DPP, Rais akitangaza baraza jipya la mawaziri nyie mnawadaka wezi.
Wana JF baada ya Takukuru na Dpp kupoteza Imani kwa Watanzania sasa mnaweza kurudisha Imani yenu kwa kufanya haya; kamateni Mawaziri wote watakaopigwa chini kwa kashfa za rushwa na Matumizi mabaya ya Madaraka hapo mtaeleweka tofauti na hapo sitoshangaa kama katika katiba Mpya Wananchi watataka nafis na vitengo vyenu vifutwe,
CAG amevuna sifa nyingi sana na hadi sasa naskia Bajeti yake inapandishwa kila kukicha,ukiuliza leo wananchi wote watasema CAG office inafaa..
Mjitafakari kama mnatakiwa kuwepo...
Tatizo ni nguvu ya DPP pale anapofuta kesi kwa kutumia nolle proscui. Yaani hamna amtu anaruhusiwa kumchallenge. Kwa hiyo TAKUKURU waweza kuandaa mashtaka lakini DPP kwa nguvu alizonazo kikatiba anaweza akakwamisha especially akiwa na masilahi na kesi hiyo.