Takukuru kaa mkao wa kula

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,597
433
Takukuru kaeni mkao wa kula.

Kazi mmeshafanyiwa hivyo iliyobaki ni kwenu na DPP, Rais akitangaza baraza jipya la mawaziri nyie mnawadaka wezi.
 
Hahaaaaa...Takukuru??? Jamani yuko wapi huyu mtalaamu Dr. Hosea? kapotea sana katika medani za Siasa za Tanzania.
 
kama kulikuwa na ushahidi basi ushapotezwa tayari... Umebaki wa mazingira tu!

Jamaa wana kazi ngumu sana!
 
It ridiculous if you still believe on this chaps called Takukuru!!They are looters and corrupt how do you expect them to combat corruption! or you are expecting them to commit suicide??
 
hii ni taasisi itakayoendelea kutumika kisiasa kama zilivyo taasisi nyingine za ulinzi na usalama mpaka hapo ikiandikwa katiba mpya itakayo wawezesha fanya kazi kwa masilahi ya nchi badala ya chama tawala!
 
It ridiculous if you still believe on this chaps called Takukuru!!They are looters and corrupt how do you expect them to combat corruption! or you are expecting them to commit suicide??

Indeed, have you ever seen a dog barking at its master?
 
Wana JF baada ya Takukuru na Dpp kupoteza Imani kwa Watanzania sasa mnaweza kurudisha Imani yenu kwa kufanya haya; kamateni Mawaziri wote watakaopigwa chini kwa kashfa za rushwa na Matumizi mabaya ya Madaraka hapo mtaeleweka tofauti na hapo sitoshangaa kama katika katiba Mpya Wananchi watataka nafis na vitengo vyenu vifutwe,
CAG amevuna sifa nyingi sana na hadi sasa naskia Bajeti yake inapandishwa kila kukicha,ukiuliza leo wananchi wote watasema CAG office inafaa..
Mjitafakari kama mnatakiwa kuwepo...
 
HA HA HA HA ...! KWA TAARIFA tu (1) CAG anachofanya ni ukaguzi tu, hakusanyi ushahidi wa kupeleka watu mahakamani; (2) HOSEA ni miongoni mwa mafisadi bingwa hapa nchi (i) kajiuzia nyumba serikali ya milioni 700 kwa milioni 40, (ii) vifaa vyote vya TAKUKURU yaani makompyuta, maprinta nk vinanunuliwa na mke wake bila kufuata sheria za manunuzi, aliyekuwa US sasa amerejea nchini kwa mapumziko, (iii) kajiuzia gari VOGI mpya ya serikali na kuipandisha ndege na kuipeleka US kwa mkewe nk; na (3) msisahau RICHMOND. Unaposema TAKUKURU shughulikia mafisadi, fikiri kwanza: ni maoni yangu kuwa HOSSEA naye RAIS angempumzisha kwani kaivuruga TAKUKURU ile mbaya sasa badala ya kutumikia nchi inamtumikia yeye

Takukuru kaeni mkao wa kula.

Kazi mmeshafanyiwa hivyo iliyobaki ni kwenu na DPP, Rais akitangaza baraza jipya la mawaziri nyie mnawadaka wezi.
 
Tatizo ni nguvu ya DPP pale anapofuta kesi kwa kutumia nolle proscui. Yaani hamna amtu anaruhusiwa kumchallenge. Kwa hiyo TAKUKURU waweza kuandaa mashtaka lakini DPP kwa nguvu alizonazo kikatiba anaweza akakwamisha especially akiwa na masilahi na kesi hiyo.
 
Wana JF baada ya Takukuru na Dpp kupoteza Imani kwa Watanzania sasa mnaweza kurudisha Imani yenu kwa kufanya haya; kamateni Mawaziri wote watakaopigwa chini kwa kashfa za rushwa na Matumizi mabaya ya Madaraka hapo mtaeleweka tofauti na hapo sitoshangaa kama katika katiba Mpya Wananchi watataka nafis na vitengo vyenu vifutwe,
CAG amevuna sifa nyingi sana na hadi sasa naskia Bajeti yake inapandishwa kila kukicha,ukiuliza leo wananchi wote watasema CAG office inafaa..
Mjitafakari kama mnatakiwa kuwepo...

OFisi ya CAG ni moja ofisi za kuigwa hapa Tanzania
 
TAKUKURU ni ya kufutilia mbali wezi wakubwa hao!

Kazi kuwafuatilia mahakimu wa mahakama za mwanzo na watendaji wa vijiji!
 
Ni kweli kabisa
Tatizo ni nguvu ya DPP pale anapofuta kesi kwa kutumia nolle proscui. Yaani hamna amtu anaruhusiwa kumchallenge. Kwa hiyo TAKUKURU waweza kuandaa mashtaka lakini DPP kwa nguvu alizonazo kikatiba anaweza akakwamisha especially akiwa na masilahi na kesi hiyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom