TAKUKURU fanyieni kazi taarifa hizi muhimu, kuna utakatishaji hapa

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,472
37,735
Katika maelezo "mazuri" ya Mheshimiwa Lijualikali bungeni alieleza jinsi alivyopata ubunge kwa njia isiyo sahihi. Pia alieleza matumizi mabaya ya fedha za michango ya wabunge, jambo ambalo nasikia TAKUKURU wameanza kufanyia kazi maneno mazuri ya Lijualikali.

Lakini kuna jambo la pili ambalo sijasikia TAKUKURU wakilifanyia kazi, nalo ni hilo la kupata Ubunge kwa njia haramu na hivyo mapato yote ya Ubunge wake tangu 2015 hadi 2020 ni fedha haramu na hivyo ni utakatishaji wa fedha halali zilizotokana na ajira haramu.

Tuanze na mnufaika, halafu tuwapate wawezeshaji, Yaani DED, OCD, Mwenyekiti wa CCM na mratibu wa uchaguzi.
 
Ungefafanua zaidi hapo unaposema alipata ubunge kwa njia zisizo halali. Unamaanisha kuwa hakupigiwa kura?
 
Back
Top Bottom