TAKUKURU Bukombe Geita imewakamata polisi wanane wa FFU kwa kosa la kuomba rushwa kwa waganga

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
TAKUKURU Bukombe Geita imewakamata polisi wanane wa FFU kwa kosa la kuomba rushwa kwa waganga wa kienyeji.
IMG_20161211_094404.jpg
 
yaani takukuru anamkamata polisi, takukuru hajaenda mafunzo yeyote ya kijesho, polisi ameenda. ningekuwa mimi ndio polisi ningemshushia kichapo hadi atite.
 
polisi nao wawe makini kufuatilia takukuru, watawakamata kwa rusha muda si mrefu kwasababu kuna tuhuma nyingi dhidi yao kwamba PCCB wanakula sana rushwa na katika rank ni wa watu..ukianzia mahakama, polisi, then TAKUKURU. hawa ndio vinara kula rushwa hivyo wakamatane wao kwa wao. unafiki mbaya sana aisee.
 
Amini usiamini hao polisi hawataenda jela mwisho wa siku utaambiwa ushahidi haukupatikana, refer kesi za wabunge na mapolisi kuhusu rushwa utaweza kujua hatma ya hii nayo!
 
Takokuru hawa hawana maana. Watu wanapiga mabilion wanakaa kimya. Ila wale wanaokula vi elfu mbilimbili ndyo wanasondekwa ndani.
 
TAKUKURU mbona walishindwa kukamata wale wabunge wa CCM kuhongwa milioni 10 kila mbunge wapitishe muswada wa habari ambao waliupitisha
 
Wanaonea dagaa wanaacha misangara huko mitaani mxiiiuuu zao siwapendi Takukuru wanafiki sana.
 
Back
Top Bottom