Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,762
- 4,516
Kulikoni tena Hawa si wenzenu jamani
Hawa ni wengine. Kanisa la Mwamakula halijawahi kumiliki hata baskeli, huo ufujaji utatoka wapi?!Wameanza kumnyemelea nini? Maana mamboleo kasema wamempuuza...
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Lake ni Moravian hilo liliunga juhudiWameanza kumnyemelea nini? Maana mamboleo kasema wamempuuza...
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
MchunguziSiyo hao. Lakini hawa ni wevi. Nadhani tokea walipopora mali za TAG kupitia Moses Kulola ambaye serikali za Nyerere na JK zilimpendelea.
Huyo mpuuze ni mzushi mmoja wala asiye na historia ya mgogoro kati ya TAG na EAGT.I'm curious na huo uporaji mkuu
Kuna uzi wowote unazungumzia hiyo historia niutafute?
Walikuwa wanaficha niniHawa si ndio wale juzi walimpa mzee Pombe tuzo ya kushinda Korona?
Soma hapa;I'm curious na huo uporaji mkuu
Kuna uzi wowote unazungumzia hiyo historia niutafute?
Michango na sadaka ni suala la TAKUKURU? ni bora kabisa hata ulivyoacha kwenda kanisani mkuu maana we ni tatizo.Tunawaomba TAKUKURU waje na huku Roman Catholic. Waje Takukuru kuchunguza RC maana sio kwa michango na sadaka kwa lazima. Kila kigango au parokia mnatakiwa kuchangia kiasi fulani nk. Siku hz watu wengine hatuendi kanisani kwa sababu ya michango na sadaka...
Sio hao. Waliopa mfalme ni TAG ambayo askofu wake mkuu ni barnabas mtoka mbali.Hawa si ndio wale juzi walimpa mzee Pombe tuzo ya kushinda Korona?
Hao HaoHawa si ndio wale juzi walimpa mzee Pombe tuzo ya kushinda Korona?
Nina extensive knowledge and experience na makanisa pamoja na migororo yao hapa Tanzania.Kitu usichokijua ni usiku wa kiza.
Usiwe mshabiki kwa jambo usilo lijua.
Taasisi za dini ninatakiwa ziwe mfano wa kuigwa kwa uadilifu.
Sasa wewe hujui kinachoendelea unakuwa wa kwanza kucomment huoni kama ni aina fulani ya kudandia mambo?
Ulianzia early eighties FYIMgogoro wa Kulola na TAG umetokea kipindi cha pili cha utawala wa Mwinyi (baada ya 1990), na Kulola kuanzisha EAGT 1992. Serikali ya Nyerere inaingiaje hapo?!
Hawa si ndio wale juzi walimpa mzee Pombe tuzo ya kushinda Korona?
Toa ndugu, toa ndugu, toa nduguTunawaomba TAKUKURU waje na huku Roman Catholic. Waje Takukuru kuchunguza RC maana sio kwa michango na sadaka kwa lazima. Kila kigango au parokia mnatakiwa kuchangia kiasi fulani nk. Siku hz watu wengine hatuendi kanisani kwa sababu ya michango na sadaka...