TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

Kahinda

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
948
500
Kitu usichokijua ni usiku wa kiza.
Usiwe mshabiki kwa jambo usilo lijua.
Taasisi za dini ninatakiwa ziwe mfano wa kuigwa kwa uadilifu.
Sasa wewe hujui kinachoendelea unakuwa wa kwanza kucomment huoni kama ni aina fulani ya kudandia mambo?
 
Kahinda

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
948
500
Siyo hao. Lakini hawa ni wevi. Nadhani tokea walipopora mali za TAG kupitia Moses Kulola ambaye serikali za Nyerere na JK zilimpendelea.
Mchunguzi
Hawa walipora mali gani za TAG labda ungetusaidia tukazijua otherwise hakuna mtu mbaya sana kama mzushi anayejifanya anajua hali hujui.
2. Ebu tupe tu kwa kifupi mgogoro ws TAG na EAGT ulihusu nini.
3. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema upumbavu ni kipaji.
Haya mkini tunao wengi.
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,258
2,000
Nafikiri Askofu wao mkuu ni Brown Mwakipesile wa kanisa la Mlimwa west Dodoma.
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,936
2,000
Mradi umma waone matokeo sio tena iwe ubabaishaji wa kutafuta rushwa. Watu wana imani na takukuru ya sasa hivyo watafurahi ikiwa rushwa na ufisadi kupitia taasisi za dini hasa makanisa pia itakomeshwa.

Kuna makanisa mengi tu ya watu binafsi wameanzisha kusudi wapige hela kupitia msamaha wa ushuru kwa makanisa. Hili sasa likomeshwe ..linapoteza mapato mengi ya serikali na kuwatajirisha watu ambao baadae wanaihujumu serikali kwenye jitihada zake za kutoa haki na kuwapatia wananchi maendeleo.
 
Kahinda

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
948
500
I'm curious na huo uporaji mkuu

Kuna uzi wowote unazungumzia hiyo historia niutafute?
Huyo mpuuze ni mzushi mmoja wala asiye na historia ya mgogoro kati ya TAG na EAGT.
Nyerere na Kikwete walikuwa na interest gani wa bariki uporaji. Hiyo ndiyo baba wataifa aliwaita watu wa jinsi hiyo " primitive nonsense ".
 
  • Thanks
Reactions: Pep

bulicheka 4

JF-Expert Member
Mar 22, 2020
916
1,000
Takukuru mnatolewa kwenye reli namnakubali
Sawa na askari analinda Bank inatokea ajali ya mpanda Baiskeli jirani na lindo anakimbilia anaacha Bank kunaibiwa gari lenye Fedha
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,305
2,000
I'm curious na huo uporaji mkuu

Kuna uzi wowote unazungumzia hiyo historia niutafute?
Soma hapa;
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Brother Kaka

Member
Jun 11, 2013
81
125
Tunawaomba TAKUKURU waje na huku Roman Catholic. Waje Takukuru kuchunguza RC maana sio kwa michango na sadaka kwa lazima. Kila kigango au parokia mnatakiwa kuchangia kiasi fulani nk. Siku hz watu wengine hatuendi kanisani kwa sababu ya michango na sadaka...
 
Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
3,413
2,000
Tunawaomba TAKUKURU waje na huku Roman Catholic. Waje Takukuru kuchunguza RC maana sio kwa michango na sadaka kwa lazima. Kila kigango au parokia mnatakiwa kuchangia kiasi fulani nk. Siku hz watu wengine hatuendi kanisani kwa sababu ya michango na sadaka...
Michango na sadaka ni suala la TAKUKURU? ni bora kabisa hata ulivyoacha kwenda kanisani mkuu maana we ni tatizo.
 
The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,895
2,000
Kitu usichokijua ni usiku wa kiza.
Usiwe mshabiki kwa jambo usilo lijua.
Taasisi za dini ninatakiwa ziwe mfano wa kuigwa kwa uadilifu.
Sasa wewe hujui kinachoendelea unakuwa wa kwanza kucomment huoni kama ni aina fulani ya kudandia mambo?
Nina extensive knowledge and experience na makanisa pamoja na migororo yao hapa Tanzania.

Kusema nadandia jambo ni kuonekana tu umepaniki na facts chache nilizozitoa kwenye mada hapo juu.

Huu mgogoro wa EAGT wa sasa umekaa kikabila na pia tamaa ya uongozi, hakuna jipya na naweza kukutajia wahusika wakuu wa huu mgogoro upande ulioathirika/walalamikaji na ukaelewa nachokisema hapa.

Anyway, labda wewe utusaidie unachokijua ili sisi tusiojua tuone kweli tunadandia mambo.
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
30,413
2,000
Tunawaomba TAKUKURU waje na huku Roman Catholic. Waje Takukuru kuchunguza RC maana sio kwa michango na sadaka kwa lazima. Kila kigango au parokia mnatakiwa kuchangia kiasi fulani nk. Siku hz watu wengine hatuendi kanisani kwa sababu ya michango na sadaka...
Toa ndugu, toa ndugu, toa ndugu
Ubarikiwe!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom