TAKUKURU Arusha ni kambi ya mateso

Beauty Eva

Senior Member
Jul 22, 2016
131
374
Ni miongoni mwa taasisi chache sana nchini Tanzania zilizokuwa zimebaki na heshima na mtu alijiona salama sana akiitwa katika ofisi za chombo hiki.

Kwa sasa hali imebadilika. Mheshimiwa Sirro, tupia macho yako hapo. Mheshimiwa Mkurugenzi Mkuu Wa TAKUKURU ndugu Mbung'o tupia macho yako hapo. Ofisi hii imekuwa ikiwatesa watu wanaotuhumiwa kwa makosa.

Imefikia hatua, watumishi Wa takukuru kuwavua watu nguo na kubaki uchi wa mnyama.

Watu kupigwa, kutukanwa, kudhihakiwa na kukejeliwa, kushinda njaa pindi wanapoitwa ni mambo ya kawaida kabisa takukuru.

Takukuru iliyokuwa inasifika kwa kutumia akili, uwazi na weledi katika utendaji wake wa kazi, sasa imebaki stori. Tunateseka wananchi. Tusaidieni
 
Ni miongoni mwa taasisi chache sana nchini Tanzania zilizokuwa zimebaki na heshima na mtu alijiona salama sana akiitwa katika ofisi za chombo hiki.

Kwa sasa hali imebadilika. Mheshimiwa Sirro, tupia macho yako hapo. Mheshimiwa Mkurugenzi Mkuu Wa TAKUKURU ndugu Mbung'o tupia macho yako hapo. Ofisi hii imekuwa ikiwatesa watu wanaotuhumiwa kwa makosa. Imefikia hatua, watumishi Wa takukuru kuwavua watu nguo na kubaki uchi wa mnyama. Watu kupigwa, kutukanwa, kudhihakiwa na kukejeliwa, kushinda njaa pindi wanapoitwa ni mambo ya kawaida kabisa takukuru. Takukuru iliyokuwa inasifika kwa kutumia akili, uwazi na weledi katika utendaji wake wa kazi, sasa imebaki stori. Tunateseka wananchi. Tusaidieni
Hili taasisi hovyo kweli kweli. Kwa sasa ni bora uitwe Polisi kuliko kwa hawa jamaa. Hawana ubinadamu. Hawaheshimu haki za watu. Nimewahi kuitwa kutoa maelezo yangu kama shahidi. Jinsi walivyonitreat kama vile ni mkosaji. Customer care mbaya sana. Badilikeni
 
Takukuru wa siku hizi wanakula Rushwa na wao kwani mishahara yao ni midogo sana zipo sehemu nyingi Rushwa imetembea lakini Takukuru hawajasikika kukemea chochote, mfano halisi ni Kigamboni ambapo Bashite na kikundi waliwagawa Rushwa bila kificho na wakati Bashite akiwa vijiweni Takukuru waliitwa wakaenda kwenye Tukio walipofika Bashite akawambia watu wake wambieni ni mimi Makonda nipo humu ikabidi wale Takukuru waogope na kutokomea haraka ambapo sasa kawapa Rushwa watengeneza propaganda report ya kumchafua ndungulile na wengine kisha wamsafishe Bashite ili kamati kuu ya Dodoma ipitishe jina lake kule Kigamboni aende kuiba kura kufanya uchakachuaji awe mbunge kwa nguvu pasipo kuchaguliwa kwa wingi wa kura halisia.
 
Kamati kuu Dodoma mtambue kuwa report ya Takukuru sahihi na bora ni ile ambayo mtuhumiwa alikamatwa ama kukoswa koswa live kama Livingston Lusinde kule Dodoma, obama kigoma na Bashite Kigamboni na Arusha na pia sehemu zingine ambapo walishuhudia kive na kuwahoji watuhumiwa wenyewe ama kuwashudia wakikacha kukimbia mtego, kumbuka wapo watu wajanja wachache watajipenyeza huko kamati kuu kuwaundia zengwe baadhi ya washindi halali wa kura za maoni na kamati kuu pasipo kuwa makini watapokea report za kupikwa kutengenezwa na kisha kuwaonea watu wengi na kuwapitisha wajanja walioshiriki kutengeneza fitna za kukatwa wenzao, Mfumo huu wa kutumia report za Rushwa zisizo na ushahidi wa macho ama mtu kuhojiwa ni mfumo wa hovyo sana, hupelekea kuteua watu wa kwenda kufanya uchakachuaji kuiba kura majimboni kuwa wabunge wasio chaguo la wapiga kura.
 
Stress za maisha zinakusumbua.
 
Kurejesha jina la mtu aliyepata kura 2 au 6 ni kurejesha wizi wa kura uchakachuaji jimboni kwani kwa namna yeyote mtu wa hivyo hawezi kuchaguliwa na wengi
 
Stress za maisha zinakusumbua.
Za kwako ndizo zinakusumbua baada ya kuona tumegundua ujanja wako wa kuwafanyia wenzako mizengwe fitna uongo ili jina lako liweze kurejeshwa jimboni kwa njia haramu.
 
Kamati kuu Dodoma mtambue kuwa report ya Takukuru sahihi na bora ni ile ambayo mtuhumiwa alikamatwa ama kukoswa koswa live kama Livingston Lusinde kule Dodoma, obama kigoma na Bashite Kigamboni na Arusha na pia sehemu zingine ambapo walishuhudia kive na kuwahoji watuhumiwa wenyewe ama kuwashudia wakikacha kukimbia mtego, kumbuka wapo watu wajanja wachache watajipenyeza huko kamati kuu kuwaundia zengwe baadhi ya washindi halali wa kura za maoni na kamati kuu pasipo kuwa makini watapokea report za kupikwa kutengenezwa na kisha kuwaonea watu wengi na kuwapitisha wajanja walioshiriki kutengeneza fitna za kukatwa wenzao, Mfumo huu wa kutumia report za Rushwa zisizo na ushahidi wa macho ama mtu kuhojiwa ni mfumo wa hovyo sana, hupelekea kuteua watu wa kwenda kufanya uchakachuaji kuiba kura majimboni kuwa wabunge wasio chaguo la wapiga kura.
Wewe hangaika na saccos yako. Mbona unaifundisha Kamati Kuu ya CCM badala ya kuhangaika na Saccos yako ya Chadema??
 
Za kwako ndizo zinakusumbua baada ya kuona tumegundua ujanja wako wa kuwafanyia wenzako mizengwe fitna uongo ili jina lako liweze kurejeshwa jimboni kwa njia haramu.
Ya CCM hayakuhusu hangaika na Saccos wewe ass!
 
Wewe hangaika na saccos yako. Mbona unaifundisha Kamati Kuu ya CCM badala ya kuhangaika na Saccos yako ya Chadema??
Chadema siyo saccos ingekuwa ni saccos msingehangaika kuwapiga risasi kuwabambikia kesi kuwahujumu kuwadhoofisha chadema, mngeacha wananchi waamue wenyewe.
 
Takukuru wa siku hizi wanakula Rushwa na wao kwani mishahara yao ni midogo sana zipo sehemu nyingi Rushwa imetembea lakini Takukuru hawajasikika kukemea chochote, mfano halisi ni Kigamboni ambapo Bashite na kikundi waliwagawa Rushwa bila kificho na wakati Bashite akiwa vijiweni Takukuru waliitwa wakaenda kwenye Tukio walipofika Bashite akawambia watu wake wambieni ni mimi Makonda nipo humu ikabidi wale Takukuru waogope na kutokomea haraka ambapo sasa kawapa Rushwa watengeneza propaganda report ya kumchafua ndungulile na wengine kisha wamsafishe Bashite ili kamati kuu ya Dodoma ipitishe jina lake kule Kigamboni aende kuiba kura kufanya uchakachuaji awe mbunge kwa nguvu pasipo kuchaguliwa kwa wingi wa kura halisia.
Bora umelifichua mapema
 
Back
Top Bottom