Taksi za Mianzi Nchini Philippine nataka kuleta Bongo Mnasemaje Wakuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taksi za Mianzi Nchini Philippine nataka kuleta Bongo Mnasemaje Wakuu?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 7, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  <!-- / icon and title --> <!-- message -->
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  <!-- / message --> <!-- edit note --> <hr style="color: rgb(227, 223, 181); background-color: rgb(227, 223, 181);" size="1"> Nataka Kuleta Bongo kufanya Biashara ya Taksi je nitapata Wateja wa kupanda?
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Usijaribu, utakuja kukutana na wehu wanaoitwa dereva wa Daladala.

  Insurance companies watakupiga premium hiyo utaogopa, kucover abiria watakaopanda, kwani risk ni kubwa sana kwa abiria.
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  They are lovely!!!!!!!!
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  wateja utapata... watu wanapanda bajaji itakuwa hizo?! wee leta tu au endelea na porojo!!

  btw, picha zimetulia hizo.
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Chonde chonde Mzizi mkavu!
  Hap tulipo tunajuta kuruhusu Bajaj na le wewe ulete hiyo mianzi yako!!!sipatakuwa hapatoshi??!!Pikipiki umeona kero zake je hizo takisi zako za mabanzi???nakushauri anzisha kitukingine!!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kamanda watu watajichukulia kuti hadi kuti kigari kitabaki naked hahaa
   
 7. doup

  doup JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  umefanya tathmini ya barabara ? utaingia kwa shimo; body itavunjika yote ubaki na tairi tuu!!!

  labda uko kijijini kwetu zitafaa
   
Loading...