Takribani Watu 17 wafariki, 137 Wajeruhiwa kwenye ajali ya Treni nchini Taiwan

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Jumla ya abiria 336 walikuwa wamepanda kwenye treni hiyo ambayo mabehewa yake yote 8 yalitoka kwenye njia usiku wa kuamkia leo na kupinduka katika eneo la Yilan

Shirika la utangazaji la Taiwan linasema watu wengi wanahofiwa kukwama bado kwenye mabehewa ya treni hiyo iliyokuwa inatoka Taipei kwenda Taitung

Haijafahamika wazi nini chanzo cha treni kutoka kwenye njia zake ila shuhuda wanasema walisikia kelele na baadae kuona moshi. Shirika la reli bado linachunguza ajali hiyo

Waokoaji wakishirikiana na Wanajeshi na Kitengo cha Zima moto wapo eneo la tukio wakijaribu kuokoa na kutoa huduma kwa majeruhi
=========

At least 17 people have been killed and 137 more injured after a passenger train derailed in Yilan County in Taiwan on Sunday evening.

Railway authorities say they are investigating the incident, which happened at about 16:50 local time (08:50 GMT).

A total of 366 people were onboard the high-speed train when all eight of its carriages derailed.

Taiwan's Central News Agency reports that dozens may still be trapped.

The train, a high-speed Puyuma Express 6432 service, was travelling between Taipei and the eastern coastal county of Taitung.

It reportedly come off the tracks close to Xinma station, near the town of Su'ao about 70km (43 miles) from Taipei.

It is not immediately clear what caused the train to derail, but witnesses told local media they heard a loud noise then sparks and smoke.

Emergency medical responders, firefighters and the army have been helping the injured at the scene and transporting them to local hospitals.

Photographs from the scene show seats upended and parts of the railway tracks breaking through carriage windows in places.

Taiwan's central government said that the premier had been notified about the situation, Reuters report.

Taiwan has an extensive train network and more than half a million passengers travel on the system every day.

The coastal train route, where the service detailed on Sunday, is popular among tourists visiting the island.
hztaiwan1021.jpeg
 
Back
Top Bottom