Nape Nnauye: Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers)

Kweli wewe bogus yaan kabisaa unamwamini Nape, yeye kashajipanga kukwamisha miradi iliyoanzishwa namwenda zake
View attachment 2020373

View attachment 2020376

Nimemuona Mhe. Nape akichangia hoja yake kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania kuwa kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere kunahitajika kukatwa miti takriban 4.3.

Akazidi kuelezea kuwa eneo linalotakiwa kukatwa miti hiyo ni sawa na eneo lote la Dar es Salaam au eneo lote la Unguja. Akaendelea kueleza athari itakayotokana na ukataji wa miti hiyo ni upungufu mkubwa mvua katika Mikoa ya Mtwara, Lindi, Iringa n.k. na hivyo athari hii itawafanya wananchi wakose mvua kwa ajili ya shughuli zao za kilimo.

Mimi binafsi sijaamini maneno yake kama ni ya kweli LAKINI kama ni ya kweli lazima tuwalaumu sana Wabunge wetu tunaowapeleka Bungeni kwa kutosimamia yale tuliowatuma.

Kwanini awamu ya tano kila kitu kilikuwa ndiyoooo bila kutafakari hoja zinazoletwa mbele yao. Miti 4.3m inakatwa?. Wabunge mnashangilia?. Wananchi tuje tukose mvua ikichukuliwa kuwa mvua ndiyo maisha yetu? Hapana hapana.

Tunawaomba tunapowatuma Bungeni simamieni hoja za kuwasaidia wananchi na siyo kumridhisha mtu mmoja. Kwa usemi wa Mhe. Nape kuna shida kubwa sana huko mbele.

======
UPDATE:

View attachment 2020383
 
Mbona kuna mafuriko nchi nzima sasa?
 
Back
Top Bottom