Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,467
- 513
Wadau wengi tunatambua ni jinsi gani jina la Kibonde mara litajwapo humu ndani linavyochafua hali ya hewa. Clouds leo wametoa nafasi ya kuwachana kwa kutuma msg, mimi nilikuwa mpenzi mkubwa wa hiki kipindi kilipoanzishwa na captain G. kwakweli it was entertaining, later came Bwana Kibonde, yeye ni kila kitu anajua, ukiongezea na ushabiki wake wa chama tawala basi wengine taratibu tukaanza kujitoa na hatimae Gadner karudi na maskani pale times fm jioni ndo angalau. Simlaumu kibonde kwakuwa kada wa Ccm, la, namlaumu kwa kushindwa kufuata misingi ya taaluma ya habari(kama anayo), haiwezekani kila jambo la wazi ambalo serikali imekosea ye akasuport na kila jambo baya upinzani akashadadia, inaboa especialy kwa kina sisi ambao mpaka leo bado hatuna umiliki wa kadi ya chama chochote. Kwakweli kama clouds invites critics 4 a positive change lazima wakubali either kipindi kibaki kama entertaining kwa vichekesho vya kibonde au kuwe na some serious discusions ambazo anatakiwa awepo unbiased yet competent person, else saa kumi kabaaa huwa najizogeza times fm. Chukua nafasi ya kutoa dukuduku, wakilibeba sawa wakikataa sawa ila siku zote time is a very good teacher.