Take home 217000/- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Take home 217000/-

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Capitalist, Feb 4, 2011.

 1. C

  Capitalist Senior Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ushauri wenu wadau, mi nafanya kazi serikalini nalipwa hako kamshahara cha 217000/- Je nikiacha kazi nifanye kazi zangu binafsi, maana naona haka kamsharahara kadogo naona kama vile napoteza mda. Au vp jamani!

  USHAURI WENU,
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kabla haujaacha kazi kwanza fanya hizo kazi zako binafsi part time..., hizo kazi binafsi zikishanyooka ndio uache kazi.
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  It depends on level your education and profession competence. If you think professionally you worth more than TShs. 217,000 then what are you doing in the public service? waiting for scholarship or?
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Kama kiwango cha mshahara wako ndio hicho hicho unachotake home, basi ina maana wewe hulipi kodi serikalini. Unatakiwa unyamaze kwani tayari una makosa ya kujibu
   
 5. C

  Capitalist Senior Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  asante kwa ushauri wako
   
 6. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwanza elimu yako ni kiwango gani (kwa kuita kamshahara),
  Pili kuacha kazi yakupasa ujiandae, je umejiandaa kwa kuwa na source ya mapato,
  Je majukumu yako kifamilia yakoje ama ni unamaisha yako binafsi tu,
  Baada ya kunijibu hayo ndipo ninaweza kukushauri, otherwise...!!!
   
 7. C

  Capitalist Senior Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hiyo ni baada ya makato mkuu.
   
 8. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Basi mshahara wako ni zaidi ya 217,000/-
   
 9. C

  Capitalist Senior Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Dip. Holder, nina mke mtoto bado, sijajiandaa na resource yeyete zaidi ya kujenga nyumba bush kwetu.
   
 10. M

  Muinjilisti Senior Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :roll:
  Muuliza swali ameuliza kwa kiswahili, umemjibu kwa lugha nyingine, huoni kama hujamtendea haki? JF na udhungu, mmh, kazi kweli kweli
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ni biashara zipi binafsi ulizoandaa kuzifanya?, Je Wife anafanya kazi?, kama hafanyi Je hawezi kufanya hizo shughuli binafsi wakati wewe unaendelea na kazi yako mpaka pale mapato ya kazi binafsi yatakapowatosha nyote ili ndio uache kazi?
   
 12. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mkuu soma kichwa cha habari cha hii post itakusaidia kuacha mabishano
   
 13. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mtoa mada kaeleweka ndio maana aliojibu kwa kizungu kaelewa. ndugu yangu kama ni take home jiendeleze zaidi na pia tafuta ka mradi ka kuongezea kipato,lajini hujatuambia kama hakuna marupurupu(real wage) we umetupa nominal wage pekee.
   
 14. C

  Capitalist Senior Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  wife hana kazi, natarajia kufanya biashara bidhaa zozote za dukani.
   
 15. C

  Capitalist Senior Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hakuna marupu2 kabisa ndugu.
   
 16. C

  Capitalist Senior Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  wife hana kazi, natarajia kufanya biashara bidhaa zozote za dukani.
   
 17. C

  Capitalist Senior Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Dip. Holder, nina mke mtoto bado, sijajiandaa na resource yeyete zaidi ya kujenga nyumba bush kwetu.
   
 18. T

  Topical JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndugu, huku kwenye sector isiyo rasmi pia kuna mwezi unaondoka bila hiyo 200,000? kwa hiyo tafakari kabla ya kuondoka

  Kuacha kazi (serikalini) mimi sikushauri hadi imefahamu utafanya nini? na kipato chake ni ngapi?

  usije ukawaacha kazi ukaende mtaani ..heri nusu shari
   
 19. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa mtaji huu nchi inaliwa na wenye meno tu wachache walio huko juu, kama walivyokushauri wengine usifanye haraka ya kuacha kazi, Kwani kazi nidhamana kubwa hata ukimuendea mtu akuazime pesa anakuamini kwa sababu una uhakika wa mashahara mwisho wa mwezi. Fanya kwanza utafiti ni kazi gani mabadala utakayofanya na maslahi yake, manake pasipo upembuzi yakinifu waweza kuruka mkojo ukakanyaga kinyesi!
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Basi wewe endelea na kazi kwanza alafu mpe wife afanye hizo biashara za duka, sababu haiitaji wote wawili, mtaji utakapoongezeka unaweza kujiongeza, pia sababu upo bush umeshawaza kukusanya mazao huko bush na kuzileta town kuuza na kuchukua vitu town kupeleka huko bush kuuza
   
Loading...