Tajiri wa Manchester City aongoza kwa utajiri soka la uingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tajiri wa Manchester City aongoza kwa utajiri soka la uingereza

Discussion in 'Sports' started by Sajenti, Jan 10, 2009.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mmiliki wa klabu ya ManchesterCity ya Uingereza Sheikh Mansour bin Zayed al Nahyan ndio tajiri zaidi katika soka ya uingereza. Sheikh Mansour mwenye umri wa miaka 38 ambaye ni raia wa Abu Dhabi amemtupa hadi nafasi ya tatu kibosile wa Chelsea Roman Abromovich. Kwa mujibu wa jarida la Four Four Two lililochapishwa tarehe 7 Jan 2009, orodha ya matajiri katika soka ya uingereza isiyohusisha wachezaji ni kama ifuatavyo.

  1. Sheikh Mansour bin Zayed al Nahyan ( Manchester City - Pound bilioni 15
  2. Lakshmi Mittal & family (QPR - Pound bilioni 12.5)
  3. Ramon Abromovich ( Chelsea - Pound bilioni 7)
  4. Joe Lewis ( Tottenham Hotspurs - Pound bilioni 2.5)
  5. Bernie and Slavica Ecclestone ( Queen's Park Rangers - Pound bilioni 2.4)
  6. Stanley Kroenke (Arsenal - Pound bilioni 2.24)
  7. Alisher Usmanov (Arsenal - Pound bilioni 1.5)
  8. Lord Grantchester and the Moores family (Everton - Pound bilioni 1.2)
  8. Dermot Desmond (Celtic - Pound bilioni 1.2)
  9. Lord Ashcroft (Watford - Pound bilioni 1.1)
  10. Malcom Glazer & Family (Manchester United - Pound bilioni 1.1)

  Kwa upande wa wachezaji

  1. David Beckham - 125ml Pound
  2. Michael Owen - 40ml Pound
  3. Wayne Rooney - 35ml Pound
  4. Rio Ferdinand - 28ml pound
  5. Robbie Fowler - 28ml pound
  6. Sol Campbell - 28ml pound
  7. Ryan Giggs - 23ml pound
  8. Michael Ballack - 20ml pound
  9. Frank Lampard 20ml pound
  10 Steven Gerrard - 19ml pound.

  Haya wakuu mapesa hayo sijui wachezaji wetu hawayajui haya!!!
   
Loading...