Tajiri Panone mbaroni Moshi kwa kuuza oil feki

Fred Mwakitundu

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
227
383
Mfanyabiashara maarufu nchini aliyewekeza kwenye biashara ya kuuuza mafuta, Patrick Ngiloi ametiwa mbaroni na jehsi la polisi nchini akihusishwa na biashara chafu ya kuza oli feki.

Ngiloi ambaye amejenga vituo vya mafuta kupitia kampuni yake ya PANONE vilivyoota kama uyoga kila kona sanjari na majengo makubwa pembezoni mwa barabara, amekamatwa na jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro na kusafrishwa kwenda Jijini Dar es salaam ambako tukio lnadaiwa kutokea.

Taarifa kutoka ofisi ya RCO Kilimanjaro zimedhibitisha kukamatwa kwa Ngiloi ambaye anatuhumiwa kuuza oil hiyo chafu kutoka kampuni Moja ya wachina iliyoko eneo la Bagamoyo mkoani Pwani.

Hata hivyo Panone kwa sasa yuko mtaaani baada ya kuachiwa kwa 'dhamana' ,tunaendelea kufuatilia kinachoendelea katika sakata hilo.
 
Kuna upepo umewakumba wafanyabiashara wa KICHAGA, Arusha kila mmoja kaangushiwa msahala wake wamejikunyata, Mfanyabiashara alifanya harusi ya kijana wake wiki chache zilizopita ilikuwa harusi kubwa kila mfanyabiashara aliekuwepo hapo amekubwa na sekeseke, inategemea ulitoa mchango wa shilingi ngapi, muhisika account zake zote zimefungiwa " kuna uchunguzi"... haki tena wachaga sijui wamemkosea nini mkuu wallah.
 
Mbinu chafu za DC hai sabaya zinajulikana.Hilo ni kosa la TBS au kiwanda cha hao wachina
Kumbe mtengeneza oil mbovu anajulikana. Si tungeanza naye ili atuambie amegawa oil kwa nani na nani? Labda watuambie Ngiloi ndio distributor nchi nzima peke yake.
Let's wait and see.
 
Hivi ameshaachiwa?
Sabaya atatoa maelezo baada ya kubanwa sana kengere
20210605_224233.jpg
 
Ni ukatiri Mkubwa sana imagine ameharibu Engine na Mitambo mingapi...
 
Kuna upepo umewakumba wafanyabiashara wa KICHAGA, Arusha kila mmoja kaangushiwa msahala wake wamejikunyata, Mfanyabiashara alifanya harusi ya kijana wake wiki chache zilizopita ilikuwa harusi kubwa kila mfanyabiashara aliekuwepo hapo amekubwa na sekeseke, inategemea ulitoa mchango wa shilingi ngapi, muhisika account zake zote zimefungiwa " kuna uchunguzi"... haki tena wachaga sijui wamemkosea nini mkuu wallah.
Sasa unachotetea hapo ni kitu gani? Wamemuonea ama?
 
Siku zote Regulatory authority za Tz wakiona wanashindwa kula hela yako wanakuletea drama kama hizi, unfortunately they are very much predictable and manageable....
Nasisistiza hamna kitu hapo
Mkuu samahani kidogo. Hapo Kuna pande mbili kama ulivyoonyesha. Kuna business man na regulatory authority kwa upande mmoja na Kuna mlaji (consumer) kwa upande wa pili. My take is: You don't care whatever happens to the consumer as long as you get your handsome profit? Am I right or wrong?
 
Fast forward 4 years later.. umeona hiyo oil chafu mkuu?
Hivi unajua sheria za Tz na usimamiz wake ni bla bla mwanzo mwisho.. mrad wapate chochote... and this same scenario lives
 
Back
Top Bottom